WAOMBOLEZAJI MBALIMBALI WAKATAI WA KUAGA MWILI WA MPIGAPICHA MKONGWE JOSEPH SENGA, LEO, SINZA DAR ES SALAAM.

 Mpigapicha wa siku nyingi Selemani Mpochi akieleza wasifu wa Mpigapicha mkongwe, Marehemu Joseph Senga, wakati wa kuaga mwili, kwenye eneo la Sinza jijini dar es Salaam, leo. Zifuatazo ni picha za waombolezaji mbalimbali wakwa kwenye shughuli hiyo ya kuaga mwili wa Joseph Senga.































PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

0 comments:

Post a Comment