SAFARI YA DK. MAGUFULI KUKABIDHIWA UENYEKITI CCM YAIVA, MKUTANO MKUU MAALUM WA CCM KUFANYIKA JULAI 23, 2016

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM, leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, pamoja na mambo mengine, Kikao hicho kimejadii na kupitisha kuwa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utafanyika Julai 23, 2016, ambapo mkutano huo unatarajiwa kumchagua Rais Dk. John Magufuli kuwa Mwenyekiti mpya Taifa.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM, leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, pamoja na mambo mengine, Kikao hicho kimejadii na kupitisha kuwa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utafanyika Julai 23, 2016, ambapo mkutano huo unatarajiwa kumchagua Rais Dk. John Magufuli kuwa Mwenyekiti mpya Taifa. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula na Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdurlahman Kinana akimkaribisha Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam, kuendesha kikao hicho, leo
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar) Vuai Ali Vuai akimkaribisha Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete

Mweneyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akisindikizwa na Katibu Mkuu wa CCM, kwenda eneo la mapumziko kabla ya kikao kuanza
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akimsalimia Mkumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Makamu wa Rais Mama samia Suluhu Hassan, kabla ya kikao hicho kuanza leo. Kushoto ni Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa na Wapili ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi na wapili kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara )Philip Mangula
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula kabla ya kikao kuanza
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiwa na Wajumbe wa Kamati Kuu kabla ya kuingia ukumbini kuanza kikao hicho
 Wajumbe wakipotia makabrasha kabla ya kikao hicho kuanza
 Wajumbe wakipitia makabrasha kabla ya kikao hicho kuanza
 Wajumbe wakiwa ukumbini
Wajumbe wakiwa ukumbini


  Baada ya kikao

1 comment: Leave Your Comments