WAHARIRI NA WAANDISHI WA HABARI WAANDAMIZI WAFANYA UTALII WA NDANI MBUGA YA WANYAMA YA MIKUMI MKOANI MOROGOR

 Mabasi maalum yakiwa yamebeba Wahariri na Waandishi waandamizi wa vuombo mbalimbali vya habari ikiwemo mitandao ya Kijamii zikiwemo Blog, tayari kutoka VETA mkoani Morogoro kwenda Mbuga ya Wanyama ya Mikumi kwa ajili ya wanataaluma hao kwenda kufanya utalii wa ndani kwa lengo la kupanua uelewa kuhusu sekta ya utalii nchini. Maandalizi ya safari hiyo yalifanywa na Mamlaka za Hifadhi Tanzania (TANAPA). Mdau endelea kutazama mkanda mzima wa tukio hilo. 0 comments:

Post a Comment