Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi Meja Jenerali Projest Rwegasira (katikati) akifurahia jambo
wakati Gwaride lilipokua likiendelea mara alipofika Chuoni hapo kufunga
mafunzo ya wahitimu 156 wa Kozi ya Uongozi Daraja la Pili, Chuo cha
Zimamoto na Uokoaji katika Kijiji cha Cogo kilichopo Wilaya ya Jimbo la
Handeni Mkoa wa Tanga, kulia ni Mrakibu Msaidizi Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Athumani Rwahila na kushoto ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Mmoja wa wahitimu hao pichani Abdallah Ulutu akiwa tayari ametunukiwa cheo chake
Wahitimu hao wakiwa katika Gwaride
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Meja Jenerali Projest Rwegasira (wa pili kushoto) akikagua Gwaride
Gwaride likipita mbele ya Mgeni Rasmi
Mgeni
Rami katika picha ya pamoja na baadhi ya wahitimu na viongozi
mbalimbali akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Handeni Tanga, Husna Msangi wapili
kushoto na kuanzia kilia ni Mrakibu Msaidizi Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji, Athumani Rwahila, Sajenti Damian Muheya ambapo ni Afisa habari
wa Jeshi hilo na anae fatia ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye
0 comments:
Post a Comment