KONISAGA AFANYIWA SHEREHE NA WANAWE KUMPONGEZA KWA KUPATA SHAHADA YA PILI CHUO KIKUU HURIA

 Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza, Baraka Konisaga akiingia na mkewe ukumbi kwenye hafla ya kumpongeza kwa kuhitimu Shahada ya Uzamili ya Uchumi na Maendeleo ya Jamii,ya Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania (OUT) juzi. Sherehe hiyo ililifanyika jana katika ukumbi wa Clasic Motel, Kurasini
 Konisaga na mkewe wakiwa wa 'Wazee wao' baada ya kuwasili ukumbini
 Wageni wakiwa wamesimama kumlaki Konisaga ukumbini
 Waalikwa wakiwa ukumbini
 Waalikwa
 Waalikwa
Waalikwa
 Konisaga na mkewe wakiwa ukumbini
 Keki maalum iliyoandaliwa na Mama Konisaga kwa ajili ya Konisaga
 Mwenyeji akiwakaribisha wageni ukumbini
 Konisaga akjiteta jambo na MC, Msoud Masoud
 Mama Margareth Konisaga akikaribisha wageni kwenye sherehe hiyo
 wageni ukumbini
  Viajana wa Konisaga walioandaa sherehe hiyo wakizungumza machache
 Mzee akionyoosha mikonbio baada ya kutambulishwa
 Huyu pia akifurahi baada ya kutambulishwa
 Na sisi pia,
 Dada wa mke wa Kobisaga akisimama baada ya kutambulishwa
 Utambulisho ukiendelea
 Konisaga akiwatambulisha wasomi wenzake, aliohitimu nao shahada ya uzamili, OUT kituo cha Mwanza Adeodata Peter (kulia) ambaye ni  Ofisa Maendeleo ya Jamii Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe na Mwalimu Leticia Patrick ambaye ni nwalimu wa somo la  Uchumi shule ya sekondaro Bwiru na Kushoto ni Mkurugenzi wa OUT kituo cha Mwanza, Bernard Kapaya.
 Konisaga akiwatambulisha wanafamilia yake ambao ni watoto wake, mkwewe na mkewe.
 Konbisaga akimtambulisha dereva wake
 Chapegne zikifubguliwa
 Konisaga akipewa kinywaji
 Mama konisaga pia
 Ikipigwa cheeers
 Naam cheeers
 Baba na Mama Konisaga wakigonganisha glasi za vinywaji
 kisha wakanywa kwa afya zao
 Keki ya shughuli
 Maka Konny akikata keki
 Akimlisha keki mumewe
 Naye Koni akimlisha mkewe
 Halafu watu wakaselebuka ile mbaya
 Konbisaga akiongoza kucheza kwaito
 Mwimbaji wa Live Band akiunguruma jukwaani na wimbo wa 'Kitambaa cheupa'
 Vitambaa vyeupe vikipeperushwa
 Vitambaa vyeupe hewani kumuonyesha upendo Konisaga
 Sasa time ya Menyu
 Ikawa kujisevia
 Kila mmoja anachokula
 Baba na mama Konisaga wakiwa mezani
wageni wakipata mlo

0 comments:

Post a Comment