HARUSI YA MAX NA PENDO

Harusi hii ya aina yake,  imefungwa Jumaosi, Septemba 28, 2018, katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Padre Pio wa Pietrelo, Kigango cha Tabata, Dar es Salaam, na baadaye mnuso mkali ukafanyika katika Hoteli ya Serena (zamani kabisa ikiitwa Sheraton Hotel' katikati ya jiji la Dar es Salaam, Tanzania. Bwana harusi, Max ambaye ni mwenyeji wa Ruvuma ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya kizalendo ya Kotes Tanzania Ltd, huku Bibi Harusi Mrs Pendo Komba akiwa ni mwenyeji wa katikati ya Tanzania, mkoa wa Dodoma. Picha tulipiga nyingi sana! lakini kwa kuwakilisha hapa zipo picha 200, Karibu.
Bwana Max Komba
Mrs Pendo Max Komba
Pendo akati akiwa bado humo katika shera
Baadhi ya wageni kutoka Ruvuma wakigaragara chini kama ishara ya kumheshimu Bwana Komba, walipowasili nyumbani kwa Bwana harusi, Tabata Dar es Salaam, tayari kushiriki suguli nzima ya harusi iyo
Komba akiwa mbele ya nyumba yake, muda mfupi kabla ya kwenda Kanisani
wageni wakipata Lunch, nyumbani kwa Komba
Mapishi yakiendelea kabla ya watu kwenda harusini
Mmoja wa wapambe wa karibu akimsauri jambo Komba kabla ya kwenda kufunga ndoa
Baadhi ya waalikwa wakiwa katika basi maalum kwenda Kanisani
Na awa pia
Komba akitoka rasmi nyumbani kwenda Kanisani kufunga ndoa
Komba na mpambe wake wakiwasili kanisani, gari hili alilotumia siyo la kukodi, ni mali yake.
Pandre akampokea Komba na mpambe wake
Shamrashamra zikiendelea kanisani kupokea maarusi
Bi Pendo ambaye sasa ni Mrs Komba akiwasili Kanisani
Penfdo akiingia kanisani
Komba na mkewe wakiwa mbele ya Padre
Hapa wakiwa tayari kufungishwa mdoa
Na hapa pia
Wakisubiri kwa hamu kufumgishwa ndoa
Padre akiwa mbele yao kuwaleza mambo muhimu yahusuyo ndoa...
Baadhi ya watoto wanafamilia, ndugu na jamaa wakiwa kanisani
Kwaya ya kanisa ikisherehesha kwa nyimbo za mapambio
Baadhi ya wazee wa karibu wa bwana harusi
waalikwa wakiwa kanisani
Maharusi na wapambe wao wakiwa kanisani
Kisha padre akaja mbele yao
'Shikaneni mikono' Padre akasema, nao wakafanya hivyo
Na Padre akaweka mkoni wake juu ya mikono yao kuwafungisha ndoa
Ikawa kama ivi
Wanavalishana pete
Naam pete ikaingia kidoleni mwa Pendo
Ikakaa vilivyo...
Komba akamfunua shera mkewe
Nape Pendo akamvalisha Pete
Pete ikaingia barabara kidoleni mwa Bwana Komba
Komba akamshukuru mkewe kwa kitendo hicho
Naam, akampenda sana...
Ndoa tayari...
Wakarudi pahala pao na kuendelea na ibada
Ibada ikashika kasi
Utoaji sadaka ukafuatia
Komba akafanya kama mkewe naye akatoa sadaka
Wakatulia
Sasa ni mke na mume.... wakaonekana wanatafakari jambo
Komba alikishwa sakramenti takatifu
Pendo akilishwa sakramenti
Mpambe wa Pendo akilishwa sakramenti
Ukawadia wakati wa kusaini hati za ndoa, Komba akawa wa kwanza
Mpambe wake naye akasaini pia kushuhudia
Pendo naya akasaini
Mpambe waka pia akasaini
haya chukua jati yako...
Na wewe Pendo chukua ati yako..
Wote wakionyesha kadamnasi hati zao za ndoa baada ya kukabidiwa na padre
Hari zinasomeka hivyoo
Padre akawapongeza
Hongera sana Pendo, akasema
Pongezi zikaanza kuminika kanisani
Kama hivi
Na hivi
Na hivi
Na hoviiiiii
Furaa hadi kwa watoto walioudhiria kama huyu
Na huyu
Ngoma zikarindima nje ya Kanisa baada ya ndoa kufungwa
Ikawa ni shamrashamra wakati bwana na Bibi Komba wakitoka Kanisani
naam apa wapo nje ya Kanisa
Komba akamchukua mkewe taratiiibu
Akawa naye mbele za watu
Kisha wakaingia katika gari lao la kifahari
Msafara ukaanza kwenda kwenye Mnuso
Kona ya kuingia barabara Kuu ya Mandela
Wakaingia kwanza kituo Cha Biashara ya Benjamin William Mkapa pale pale Tabata
Watu wakashangilia
Maharushi wakawa wanatembea hapa na pale kujiliwaza kwa raha zao kwenye maeneo ya kituo hicho cha uwekezaji cha Ben Mkapa, Kisha wakapozi poicha mbalimbali...... kwa ajili ya kumbukumbu

 
Ile kufika tu, Hoteli ya Serena wakapiga picha hii, kisha picha zinazoendelea ni ndani ya ukumbi wa hoteli hiyo, kulishana champegne, keki, utoaji zawadi na kusakata muziki vikawa ndiyo mwao humo ukumbini, sasa endelea......
  
 

 
 


1 comment: Leave Your Comments

  1. great!!!!!
    i never seen before like this..
    its awesome :)

    ReplyDelete