CARREN MGONJA WA HABARI GROUP AMFANYISHA PART YA KIPAIMARA BINTI YAKE ELIZABETI THOMAS

Carrenflora Mgonja wa kundi la wajasiliamali wa kikundi cha Habari Group akiwa na mumewe Patson Mlandali wakati wa kumfanyia part ya kipaimara bint yao Elizabet iliyofanyika katika ukumbi wa Abiola Buza Dar es salaam jana
Washereheshaji wa shughuli hiyo Anti Latifa kushoto na Sakina Lioka wakiwa na Carren Mgonja wakati wa sherehe ya mwanae
Elizabet
wafanyakazi wenzie
WAZAZI WAKICHEZA MZIKII
WAZAZI WAKITOA NENO LA KUWAKARIBISHA WAGENI
Carrenflora Mgonja