MWILI WA MZEE PIUS MKUNJA WAAGWA JIJINI MWANZA KWA AJILI YA MAZISHI MKOANI MOROGORO

Padri wa Kanisa la Roman Cathoric, Parokia ya Watakatifu Wote Kiloleli Manispaa ya Ilemela, Jijini Mwanza, akiongoza ibada ya maombi ya kuuaga mwili wa Marehemu, Mzee Pius Joseph Mkunja, Mzaliwa na Mkazi wa Mpanga Kilombero Mkoani Morogoro. Ibada hiyo ilifanyika jana kanisani hapo.

Mzee Mkunja alifariki dunia juzi April 25,2016 katika Hospitali ya Rufaa Bugando Jijini Mwanza akikokuwa akipata matibabu. Alizaliwa Mwaka 1926 hivyo amefariki akiwa na umri wa miaka 90. Kifo chake kimetokana na tatizo la vidonda vya tumbo. Alikuwa mfanyabiashara maarufu enzi za uhai wake.

Mwili wake unasafirishwa hii leo April 27,2016 kuelekea nyumbani kwake Mpanga, Kilombero Mkoani Morogoro kwa ajili ya Mazishi. 

Tunatoa natoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki walioguswa na msiba huu, akiwemo mtoto wa Marehemu, Bi.Idda Adam.
Padri wa Kanisa la Roman Cathoric, Parokia ya Watakatifu Wote Kiloleli Manispaa ya Ilemela, Jijini Mwanza, akiongoza ibada ya maombi ya kuuaga mwili wa Marehemu, Mzee Pius Joseph Mkunja, Mzaliwa na Mkazi wa Mpanga Kilombero Mkoani Morogoro. Ibada hiyo ilifanyika jana kanisani hapo.
Padri wa Kanisa la Roman Cathoric, Parokia ya Watakatifu Wote Kiloleli Manispaa ya Ilemela, Jijini Mwanza, akiongoza ibada ya maombi ya kuuaga mwili wa Marehemu, Mzee Pius Joseph Mkunja, Mzaliwa na Mkazi wa Mpanga Kilombero Mkoani Morogoro. Ibada hiyo ilifanyika jana kanisani hapo.

CLOUDS MEDEA GROUP IKIONGOZWA NA MD JOE KUSAGA YATEMBELEA NYUMBANI KWA BALOZI MANONGI, NEW YORK


Timu nzima ya Clouds Medea Group wakiwa katika picha ya pamoja na Balozi Tuvako Manongi na mkewe, kutoka kushoto ni Saleh Mohammed, Daudu Lembuya, Dj Venture, Mhe. Balozi Tuvako Manongi, Mgurugenzi Joseph Kusaga, mama Manongi, Dj Peter Moe na Jackson Joseph.
Kushoto ni Brightus Titus, Getrude Clement na NY Ebra wakiwa katika picha ya pamoja.

OLE SENDEKA ANOGESHA SHEREHE ZA DIWANI WA KATA YA ENGARENAIBOR LONGIDO MKOANI ARUSHA

 Msemaji wa CCM na Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka akisaini kitabu cha Wageni alipopita Ofisi ya CCM mkoa wa Arusha akiwanjiani kwnda wilayani Longido akiwa katika ziara ya kikazi mkoani humo jana. Wapili kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha Lekule Laiza na kulia ni Katibu Mwenezi wa mkoa huo, Shabani Mdoe
 Katibu Mwenezi wa mkoa wa Arusha Shabani Mdoe akitambulisha wageni, Msemaji wa CCM na Mjumbe wa NEC, Ole Sendeka alipofika Ofisi ya CCm mkoa wa Arusha akiwa njiani kwenda wilayani Longido mkoani humo jana akiwa katika ziara ya kikazi
 Msemaji wa CCM Ole Sendeka akizungumza na viongozi wa CCM mkoa wa Arusha alipofika Ofisi ya CCM mkoani huni humo akiwa njiani kwenda wilayani Longido akiwa katika ziara ya kikazi
 Vijana wa bodaboda wakimsalimia Msemaji wa CCM, Ole Sendeka wakati wa mapokezi akiwa njiani kwenda wilayani Longido mkoani Arusha kikazi. Kushoto ni wenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha Lekule Laiza
 Msafara wa Msemaji wa CCM Ole Sendeka ukienda wilayani Longido mkoani Arusha
 Hiyo Ndiyo Longido
 Vijana wa Bodaboda wakiongoza msafara wa Msemaji wa CCM, Ole Sendeka ulipokuwa njiani kwenda Kata ya Engarenaibor wilayani Longido mkoani Arusha 
 Msemaji wa CCM Ole Sendeka akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Longido Ernest Kahindi, alipofika Ofisi ya CCm ya wilaya hiyo akiwa njiani kwenda Kata ya Engarenaibor akiwa katika ziara ya kikazi
 Mwanannchi wa Longido
 Msemaji wa CCM Ole Sendeka akienda katika Ofisi ya CCM wilaya ya Longido mkoani Arusha
 Msemaji wa CCM, Ole sendeka akisaini kitabu cha wageni alipowasili Ofisi ya CCM wilaya ya Longido mkoani Arusha jana
 Swaga za vijana wa Longido
 Msemaji wa CCM, Ole Sendeka akiwa na kinamama wa Longido mkoani Arusha kwenye Ofisi ya CCM ya Longido
 Msemaji wa CCM, Ole Sendeka akiwa na kinamama wa Longido mkoani Arusha kwenye Ofisi ya CCM ya Longido
 Vijana wa bodaboda wakiongoza msafara wa Msemaji wa CCM Ole Sendeka  kwenda Kata ya Engarenaibor
 Kina mama wakimfurahia Msemaji wa CCM Ole Sendeka wakati msafara wake ukipita mitaani ulipowasili Kata ya Engarenaibor wilayani simanjiro mkoani Arusha
 Mgambo akielekeza msafara wa Msemaji wa CCM Ole sendeka kwenda kunakohusika katika Kata ya engarenaibor, Longido mkoani Arusha
 Wakazi wa Kata ya Engarenaibor wakimpokea wa burudani Msemaji wa CCM Ole Sendeka alipowasili katika kata ya Engarenaibor akiwa katika ziara ya kikazi jana
 Msemaji wa CCM Ole Sendeka akiwa na wenyeji baada ya kuwasili Kata ya Engarenaibor wilayani Longido mkoani Arusha akiwa katika ziara ya kikazi jana
 Dada wa Kimasai akilia kutekeleza moja ya mila za kupokea mgeni muhimu, Msemaji wa CCM Ole Sendeka alipofika katika Kata ya Engarenaibor wilayani Longido akiwa katika ziara ya kikazi
 Wenyeji wa Jamii ya Kimasai wakiwa wamejipanga kumpokea Ole Sendeka kwenye eneo la sherehe katika kata ya Engarenaibor
 Msemaji wa CCM, Ole sendeka akisalimiana na baadhi ya viongozi alipowasili kwenye uwanja wa sherehe, katika Kata ya Engarenaibor wilayani Longodo mkoani arusha
 Ole sendeka akimtia baraka kimila mwari wa Kimasai alipowasili kwenye uwanja wa sherehe katika Kata ya Engarenaibor wilayani Longido mkoani Arusha
 Msemaji wa CCM, Ole Sendeka akiwasalimia wananchi alipowasili katika Kata ya Engarenaibor kushiriki sherehe za kumpongeza Diwani wa kata hiyo Peter Ndereko, jana
 Msemaji wa CCM, Ole Sendeka akisaini kitabu chawageni baada ya kuwasili kwenye eneo la sherehe ua kumpongeza diwani wa Kata ya Engarenaibor Peter Ndereko (kushoto)
 Mjumbe wa NEC, ambaye pia ni Oisa mwandamizi katika Idara ya Itikadi na Uenezi Makao makuu ya CCM, Kilumbe Ng'enda akiwa na Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Sharusha Shaban Mdoe wakati wa sherehe ya kumpongeza Diwani wa Kata ya Engarenaibor wilayani Longido mkoani Arusha jana
 Mwinjilisti akiiimba wimbo maalum wa makaribisho, Msemaji wa CCM Ole sendeka alipowasili kwenye sherehe hizo,katika Kata ya Engarenaibor wilayani Longido mkoani arusha
 Wananchi wakiwa wamesheheni uwanjani wakati wa sherehe hizo za kumpongeza Diwani wa Kata ya Engarenaibor 
 Mchungaji akifanya maombi wakati wa sherehe za kumpongeza diwani wa Kata ya Engarenaibor wilayani Longido zilizohudhuriwa na Msemaji wa CCM Ole Sendeka jana
 Msemaji wa CCM Ole Sendeka akifanyiwa maombi maalum wakati wa sherehe za kumpongeza Diwani wa Kata ya Engarenaibor wilayani Longido mkoani Arusha jana. Pamoja naye ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha Lekule Laiza
 Msemaji wa CCM Ole Sendeka akifanyiwa maombi maalum wakati wa sherehe za kumpongeza Diwani wa Kata ya Engarenaibor wilayani Longido mkoani Arusha jana. Pamoja naye ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha Lekule Laiza
 Mkuu wa wilaya ya Longido mkoani Arusha Ernest Kahindi akizungumza wakati wa sherehe za kumpongeza Diwani wa Kata ya Engarenaibor  
 Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Arusha Shabani Mdoe akitoa utambulisho wakati wa sherehe za kumpongeza Diwani wa Kata ya Engarenaibor, Peter Ndereko zilizofanyika jana katika kata hiyo

 Vijana wa Kimasai wakionyesha umahiri wao wakati wa sherehe za kumpongeza Diwani wa Kata ya Engarenaibor wilayani Longido mkoani Arusha zilzofanyika jana
 Mjumbe wa NEC ambaye pia ni Ofisa mwandamizi katika Idara ya Itikadi na Uenezi makao Makuu ya CCM akimtuza Naanyu Mollel baada ya kufurahishwa na uimbaji wake wakati wa sherehe za kumpongeza Diwani wa Kata ya Engarenaibor wilayani Longido mkoani Arusha
 Msemaji wa CCM, Ole Sendeka akiwa na  Naanyu Mollel baada ya kufurahishwa na uimbaji wake wakati wa sherehe za kumpongeza Diwani wa Kata ya Engarenaibor wilayani Longido mkoani Arusha
 Msemaji wa CCM Ole Sendeka akimtawaza Diwani wa Kata ya Engarenaibor wilayani Longido mkoani Arusha, Peter Ndereko kuwa Kamanda wa Umoja wa Vijana wa CCM wa Kata hiyo, wakati wa sherehe za kumpongeza diwani huyo jana
 Diwani wa Kata ya Engarenaibor Peter Ndreko akionyesha zana alipokabidhiwa na Msemaji wa CCM Ole Sendeka baada ya kumtawaza kuwa Kamanda wa Umoja wa Vijana wa CCM wa Kata hiyo jana. Katikati ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha Lekule Laizer
.
Msemaji wa CCM Ole Sendeka akimtawaza Diwani wa Kata ya Engarenaibor wilayani Longido mkoani Arusha, Peter Ndereko kuwa Kamanda wa Umoja wa Vijana wa CCM wa Kata hiyo, wakati wa sherehe za kumpongeza diwani huyo jana

Msemaji wa CCM Ole Sendeka akipewa baraka za Kimila na Mzee wa Kata ya Engarenaibor wakati wa sherehe za kumpongeza diwani wa Kata ya Engarenaibor



 Mzee wa Kimila  Ngaya Ole Sembekwan akimkabidhi mkuki Diwani wa Kata ya Engarenaibor Peter Ndereko, wakati wa sherehehe za kumpongeza diwani huyo. Katikati ni Msemaji wa CCM Ole Sendeka
 Msemaji wa CCM Ole Sendeka akivishwa shuka la kimila kuzawadiwa wakati wa sherehe za kumpongeza Diwani wa Kata ya Engarenaibor PeterNdereko zilizofanyika jana
 Mjumbe wa NEC na Ofsa Mwandamizi katika Idara ya Itikadi na Uenezi makao Makuu ya CCM Kilumbea Ng'enda akivalishwa shuka la kijadi ya Kimasai wakati wa sherehe ya kupongezwa diwani wa kata ya Engarenaibor wilayani Longido mkoani Arusha jana. Kulia ni Ole Sendeka
 Ole Sendeka, Kilumbe Ng'enda na  Diwani wa Kata ya Endarenaibor wakiwa katika picha ya pamoja