OLE SENDEKA AUNGURUMA SINGIDA

 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida, Martha Mlata akimkaribisha kuhutubia wananchi, Msemaji Mkuu wa CCM, Christopher Ole Sendeka kwenye Viwanja vya Ofisi ya CCM mkoa wa Singida leo
 Mjumbe wa NEC wa Kigoma na Ofosa Mwandamizi kutoka Makao Makuu ya CCM, akijadili jambo na Katibu wa CCM mkoa wa Singida Mary Maziku wakati wa mkutano huo
 Baadhi ya watumishi wa CCM wakimsikiliza Ole Sendeka
Msemaji Mkuu wa CCM, Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka akihutubia wananchi katika mkutano uliofanyika leo kwenye Ofisi ya CCM mkoa wa Singida. Picha zote na Bashir Nkoromo

0 comments:

Post a Comment