KITCHEN PARTY YA HELENA NDILE ILIVYOFANA

 Mama Mzazi wa Helena Ndile akizungumza machache kwa mwanae ambayo yatamsaidia kwenye maisha ya ndoa.
 Msanii wa kufanya vichekesho MC Pilipili akichekesha wageni waalikwa waliohudhuria sherehe za Kitchen za Bi. Helena Ndile.
 Wageni waliohudhuria sherehe hiyo ya Kitchen Party wakiwa hawana mbavu kutokana na vichekesho vya MC Pilipili.
 Mama na Mwana wakilisakata rhumba 
 Helena Ndile akikabidhi keki kwa mawifi zake.
 Kinamama wa kikundi cha Upendo kilichopo Lumumba ofisi ndogo za CCM wakipeleka zawadi zao kwa mdogo wao Helena Ndile.
 Helena Ndile akiwa kwenye picha ya pamoja na mawifi zake
Helena Ndile akipata maelezo ya zawadi mbali kutoka kwa dada yake Edna Ndile,sherehe hii ya kitchen party imefanyika  tarehe 6 Oktoba2013 kwenye ukumbi wa Lulu Social Hall.

0 comments:

Post a Comment