VICENT MNYANYIKA NA TATU ABDI WAANZA MAISHA MAPYA, WAFUNGA NDOA

Bwana Harusi Vicent Mnyanyika na Mkewe Tatu Abdi wakipiga picha ya ukumbusho mara baada ya kufunga ndoa takatifu katika Parokia ya Mtakatifu Maria ya Kimara, jijini Dar es Salaam juzi. Bwana Harusi Vicent Mnyanyika na Mkewe Tatu Abdi wakipiga picha ya ukumbusho mara baada ya kufunga ndoa takatifu katika Parokia ya Mtakatifu Maria ya Kimara, jijini Dar es Salaam juzi.
Paroko wa parokia ya Mtakatifu Maria Kimara akiwaongoza maharusi kuweka maagano ya ndoa takatifu Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Maria Kimara akiwaongoza maharusi kuweka maagano ya ndoa yao takatifu Kanisani"
Bibi harusi Tatu Abdi akiweka saini kwenye cheti cha ndoa akiwa anashuhudiwa na Mmewe Vicent Mnyanyika 
Bibi harusi Tatu Abdi akiweka saini kwenye cheti cha ndoa huku mumewe Vicent Mnyanyika akishuhudia pembeni.
MC PC Makame Akiwaongoza Maharusi katika tendo la keki.Harusi sherehe ilifanyika katika ukumbi wa Grand Hall Piccolo Beach Hotel Tar 31 August 2013 MC PC Makame akiwaongoza maharusi katika tendo la keki ukumbini katika hafla kabambe iliyofanyika katika Ukumbi wa Grand Hall Piccolo Beach Hotel Agosti 31, 2013.
DSC_0020  
Bi. Tatu Abdi katika picha na mpambe wake.
DSC_0333  
 Maharusi wakikabidhiwa vyeti vyao kanisani. DSC_0335  
Maharusi wakivionesha vyeti vya ndoa kwa mashuhuda mara baada ya kufunga ndoa.
Maharusi na wapambe  
Picha na wapambe wa maharusi.
Maharusi na wazazi  
Picha na wazazi wa maharusi
Bwana Harusi Vicent Mnyanyika na Bibi Harusi Tatu Abdi wakitoka ukumbini
Maharusi wakiwapungia mikono wageni waalikwa kwa ishara ya kuwaaga mara baada ya kumalizika kwa mnuso huo wa nguvu uliofanyika katika Ukumbi wa Grand Hall Piccolo Beach Hotel.

0 comments:

Post a Comment