OLE SENDEKA AWAASA WAMASAI JAMII YA PARAKUYO KUTEUA CHIFU MWENYE HEKIMA NA BUSARA

 Wamasai wa jamii ya Parakuyo wakiwa wamelizunguka kaburi la Kiongozi wao wa kimila Chifu Moreto Ole Maitei, wakati Msemaji Mkuu wa CCM, Christopher Ole Sendeka, alipowaongoza katika shughuli ya arobaini ya Kiongozi huyo, wa jamii hiyo Kanda ya Tanga, Pwani, Morogoro, Mbeya na Iringa,  iliyofanyika leo katika Kijiji cha Kigoda, Kata ya Gwata, Kibaha Vijijini katika mkoa wa Pwani. (Picha na Bashir Nkoromo).
 Msemaji Mkuu wa CCM, Christopher Ole Sendeka, akilitazama kaburi, alipoongoza shughuli ya arobaini ya Kiongozi wa Jamii ya Wamasai wa kundi la Parakuyo, katika Kanda ya mikoa ya Tanga, Pwani, Morogoro, Mbeya na Iringa, Chifu Moreto Ole Maitei, iliyofanyika leo katika Kijiji cha Kigoda, Kata ya Gwata, Kibaha Vijijini katika mkoa wa Pwani.
 Msemaji Mkuu wa CCM, Christopher Ole Sendeka, na baadhi ya viongozi wa kimila wakiwa mbele ya kaburi, alipoongoza shughuli ya arobaini ya Kiongozi wa Jamii ya Wamasai wa kundi la Parakuyo, katika Kanda ya mikoa ya Tanga, Pwani, Morogoro, Mbeya na Iringa, Chifu Moreto Ole Maitei, iliyofanyika leo katika Kijiji cha Kigoda, Kata ya Gwata, Kibaha Vijijini katika mkoa wa Pwani..
  Msemaji Mkuu wa CCM, Christopher Ole Sendeka, na baadhi ya viongozi wa kimila wakiwa mbele ya kaburi, alipoongoza shughuli ya arobaini ya Kiongozi wa Jamii ya Wamasai wa kundi la Parakuyo, katika Kanda ya mikoa ya Tanga, Pwani, Morogoro, Mbeya na Iringa, Chifu Moreto Ole Maitei, iliyofanyika leo katika Kijiji cha Kigoda, Kata ya Gwata, Kibaha Vijijini katika mkoa wa Pwani
 Mtoto wa kwanza wa kiume wa  aliyekuwa Kiongozi wa Jamii ya Wamasai wa kundi la Parakuyo, katika Kanda ya mikoa ya Tanga, Pwani, Morogoro, Mbeya na Iringa, Chifu Moreto Ole Maitei, akimwaga maziwa kwenye kaburi la kiongozi huyo, wakati wa shughuli ya arobaini iliyofanyika leo katika Kijiji cha Kigoda, Kata ya Gwata, Kibaha Vijijini katika mkoa wa Pwani
 Mtoto wa kwanza wa kiume wa  aliyekuwa Kiongozi wa Jamii ya Wamasai wa kundi la Parakuyo, katika Kanda ya mikoa ya Tanga, Pwani, Morogoro, Mbeya na Iringa, Chifu Moreto Ole Maitei, akimwaga asali kwenye kaburi la kiongozi huyo, wakati wa shughuli ya arobaini iliyofanyika leo katika Kijiji cha Kigoda, Kata ya Gwata, Kibaha Vijijini katika mkoa wa Pwani
  Mtoto wa kwanza wa kiume wa  aliyekuwa Kiongozi wa Jamii ya Wamasai wa kundi la Parakuyo, katika Kanda ya mikoa ya Tanga, Pwani, Morogoro, Mbeya na Iringa, Chifu Moreto Ole Maitei, akimwaga maziwa kwenye kaburi la kiongozi huyo, wakati wa shughuli ya arobaini iliyofanyika leo katika Kijiji cha Kigoda, Kata ya Gwata, Kibaha Vijijini katika mkoa wa Pwani
 Vijana wa jamii hiyo wakiwa na vibuyu vyenye asali na maziwa kwa ajili ya Watoto wa kiume wa Chifu huyo kumwagia kwenye kaburi
  Mtoto wa pili wa kiume wa  aliyekuwa Kiongozi wa Jamii ya Wamasai wa kundi la Parakuyo, katika Kanda ya mikoa ya Tanga, Pwani, Morogoro, Mbeya na Iringa, Chifu Moreto Ole Maitei, akimwaga maziwa kwenye kaburi la kiongozi huyo, wakati wa shughuli ya arobaini iliyofanyika leo katika Kijiji cha Kigoda, Kata ya Gwata, Kibaha Vijijini katika mkoa wa Pwani
 Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akiwa na badhi ya viongozi wakati wa shughuli hiyo. Kulia ni Katibu wa CCM Kata ya Gwata, Kibaha Vijijini mkoa wa Pwani George Kifuku

 Mtoto wa pili kutoka mwisho wa Chifu huyo, Lesimeli Moreto (6) akisaidiwa kumwaga maziwa kwenye kaburi


 Mtoto wa mwisho wa Chifu Moreto, Likadi Moreto (3) akisaidiwa kumwagia mfuko wa chakula wa ng'ombea dume,  kwenye kaburi

 Msemaji Mkuu wa CCM, Christopher Ole Sendeka, akiweka majani kweye kaburi, alipoongoza shughuli ya arobaini ya Kiongozi wa Jamii ya Wamasai wa kundi la Parakuyo, katika Kanda ya mikoa ya Tanga, Pwani, Morogoro, Mbeya na Iringa, Chifu Moreto Ole Maitei, iliyofanyika leo katika Kijiji cha Kigoda, Kata ya Gwata, Kibaha Vijijini katika mkoa wa Pwani. .

 Kijana Lucas Moreto akiweka majani kwenye kaburi
 Msemaji Mkuu wa CCM, Christopher Ole Sendeka, akiomba duaa ya kimila kabla ya kuweka kibuyu cha utabiri cha Chifu kweye kaburi, alipoongoza shughuli ya arobaini ya Kiongozi wa Jamii ya Wamasai wa kundi la Parakuyo, katika Kanda ya mikoa ya Tanga, Pwani, Morogoro, Mbeya na Iringa, Chifu Moreto Ole Maitei, iliyofanyika leo katika Kijiji cha Kigoda, Kata ya Gwata, Kibaha Vijijini katika mkoa wa Pwani.
 Msemaji Mkuu wa CCM, Christopher Ole Sendeka, akiendelea kuomba duaa ya kimila baada ya  kuweka kibuyu cha utabiri cha Chifu kweye kaburi, alipoongoza shughuli ya arobaini ya Kiongozi wa Jamii ya Wamasai wa kundi la Parakuyo, katika Kanda ya mikoa ya Tanga, Pwani, Morogoro, Mbeya na Iringa, Chifu Moreto Ole Maitei, iliyofanyika leo katika Kijiji cha Kigoda, Kata ya Gwata, Kibaha Vijijini katika mkoa wa Pwani.
 Msemaji Mkuu wa CCM, Christopher Ole Sendeka, akiwa na mjane wa Chifu Moreto Magdalena Tikwa,


0 comments:

Post a Comment