Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi akimkaribisha Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakata Kikwete alipowasili leo kukagua hali ya ukumbi wa mikutano wa Dodoma Convetion, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mkutano mkuu maalum wa CCM utakaofanyika Julai 23, 2016. Kwa lengo la kumkabidhi kijiti cha Uenyekiti wa CCM, Rais wa awamu ya Tano Rais Dk. John Magufuli. Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.
ziafuatazo ni mfululizo wa picha mbalimbali. Picha zote na Bashir Nkoromo
JK AKAGUA HALI YA UKUMBI UTAKAOTUMIKA WAKATI WA MKUTANO MKUU MAALUM WA CCM MJINI DODOMA
About Bashir Nkoromo
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment