Ofisa Tawala wa Ilaya ya Ilala, Edward Mpogolo akisindikizwa na Mkuu wa Idara ya Ushawishi na Utetezi wa Taasisi ya TYVA Makwita Abdul, alipowasili British Council jijini Dar es Salaam, kuwa mgeni Rasmi kwenye maadhimisho ya miaka 16 ya Taasisi hiyo, yaliyofanyika leo
Ofisa Tawala wa Ilaya ya Ilala, Edward Mpogolo akisalimana na Ofisa Vijana mkoa wa Dar es Salaam, Masalida Njashi, alipowasili British Council jijini Dar es Salaam, kuwa mgeni Rasmi kwenye maadhimisho ya miaka 16 ya Taasisi hiyo, yaliyofanyika leo
Ofisa Tawala wa Ilaya ya Ilala, Edward Mpogolo akisalimana na Mwenyekiti wa TYVA Nuria Mshare alipowasili British Council jijini Dar es Salaam, kuwa mgeni Rasmi kwenye maadhimisho ya miaka 16 ya Taasisi hiyo, yaliyofanyika leo.
Ofisa Tawala wa Ilaya ya Ilala, Edward Mpogoloakiingia ukumbini alipowasili British Council jijini Dar es Salaam, kuwa mgeni Rasmi kwenye maadhimisho ya miaka 16 ya Taasisi hiyo, yaliyofanyika leo
Waalikwa na Vijana wa TYVA wakisimama kumlaki Mpogolo
Waalikwa na Vijana wa TYVA wakisimama kumlaki Mpogolo
Mpogolo akiwasili meza kuu kuanza shughuli
Mpogolo akiwa tayari ukumbini
Mkuu wa Idara ya Ushawishi na Utetezi wa TYVA Makwita Abdul akitoa maneno ya utangulizi kwenye hafla hiyo
Mwenyekiti wa TYVA Nuria Mshare akitoa hotuba yake
Mwenyekiti wa TYVA Nuria Mshare akitoa hotuba yake
Waalikwa na Vijana wa TYVA wakiwa ukumbini
Mpogolo akitayarisha dondoo za hotuba yake
Mkuu wa Kitengo cha Ushawishi na Utetezi wa TYVA Makwita Abdul akishauriana jambo na Mwenyekiti wa TYVA Nuria Mshare wakati wa hafla hiyo
Katibu Mtendaji Mtendaji wa TYVA Sadam akitoa maelezo kuhusu miaka 16 ya Taasisi hiyo wakati wa hafla hiyo
Ofisa Tawala wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo akishauriana jambo na Mwenyekiti wa TYVA Nuria Mshare wakati wa hafla hiyo
Mmoja wa wanachama wa zamani wa TYVA a Costantine Deus akitoa ushuhuda alivyonufaika na TYVA wakati wa hafla hiyo
Baadhi ya washiriki wakiendelea kuingia ukumbini
Sekretarieti ya TYVA ikiwa kazini wakati wa hafla hiyo
Vijana wa TYVA wakiwa ukumbini
Ukumbi ukiwa umefurika waalikwa na Vijana wa TYVA wakati wa hafla hiyo
Ofisa Tawala wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo akisoma mpangokazi au bajeti ya TYVA wakati wa hafla hiyo
Mwanachama wa TYVA akitoa ushuhuda anavyonufaika na taasisi hiyo, wakati wa hafla hiyo
Ofisa Tawala Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, Edward Mpogolo akizindua mpangokazi au bajeti ya Taasisi ya Vijana ya TYVA, wakati wa maaldhimisho ya miaka 16 ya Taasisi hiyo yaliyofanyika leo katika ukumbi wa British Council Dar es Salaa.. Kushoto ni Mwenyekiti wa TYVA Nuria Mshale
Ofisa Tawala Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, Edward Mpogolo akizuznguza wakati wa maaldhimisho ya miaka 16 ya Taasisi hiyo yaliyofanyika leo katika ukumbi wa British Council Dar es Salaa.
Waakiwa ukumbini. baaye ilifuatia keki kwa ajili ya konogesha maadhimisho hayo ya miaka 16 ya TYVA
Ofisa Tawala wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo akiagana na Ofisa Vijana mkoa wa Dar es Salaam, Masalinda Njashi baada ya hafla hiyo
Mpogolo akitoa nasaha za mwisho kwa viongozi wa TYVA kabla ya kuondoka mwishoni mwa hafla hiyo. Picha zote na Bashir Nkoromo
0 comments:
Post a Comment