TASWIRA ZA WAOMBOLEZAJI KATIKA MSIBA WA AMINA ATHUMANI JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

1 comment: Leave Your Comments

  1. Nenda salama dada, mama na mdogo wetu AMINA ATHUMANI. Hakika taaswira na maneno yako ya mwisho kwangu uliyonambia siku ya Ijumaa usiku ukiwa na furaha tele vitaendelea kuwa kumbu kumbu ya muda mrefu akilini na mawazoni mwangu. EWE MWENYEZI MUNGU, MJAALIE MJA WAKO HUYU KAULI THABIT NA MAISHA MEMA YA BARZA HADI UTAKAPOMFUFUA PAMOJA NA WAJA WAKO WEMA NA UWAJAALIE WAZAZI, NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI MOYO WA SUBIRA WA KUUPOKEA MSIBA HUU KWA KUKUSHUKURU NA SIO KUKUFURU, AAMIN.

    ReplyDelete