POLISI WAFANYA UKAGUZI MKALI WA MABASI KITUO CHA UBUNGO, DAR ES SALAAM


Mkaguzi wa Magari wa Jeshi Polisi , Ibrahim Samwix akikagua basi la leo yenye namba za T 735 DFX usajili katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo jijini Dar es Salaam.
Mkaguzi wa magari wa Polisi Sajeti , Elisante Bulla akikagua basi la kampuni ya Imo yenye namba za usajili T 773 CVX ambapo alibaini kukosa mikanda na kuirudisha ndani ya kituo cha mabasi Ubungo leo jijini Dar es Salaam.
Mkaguzi wa magari wa Polisi Sajeti , Elisante Bulla akikagua basi la kampuni ya Islam na kubaini kukosa langi katika mgongo wa basi hilo na kung’o namba za usajili ili wakapake rangi katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo leo jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya mabasi yakisubiri abiria wa mikoa mbalimbali leo katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo leo jijini Dar es Salaam.
Mkaguzi wa Magari wa Jeshi Polisi , Ibrahim Samwix akimuonyesha mwaandishi wa blog hii vifaa ambavyo vilikuwa vibovu katika mabasi ambavyo walileta baina kubaini makosa hayo leo jijini Dar es Salaam.

Mkaguzi wa magari wa Jeshi la Polisi, Jackson Mafuru akifanya ukaguzi wa basi katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo leo jijini Dar es Salaam. (Picha na Emmanel Massaka, Michuzi Blog)

0 comments:

Post a Comment