KINANA AONGOZA MAZISHI YA ALIYEKUWA KATIBU WA CCM WILAYA YA MONDULI

Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akimsalimia Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Monduli,  Laata sanare alipowasili nyumbani kwa aliyekuwa Katibu wa CCM wa wilaya hiyo, Marehemu Jacob Nkomola wakati wa mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa marehemu Mtoni Kijichi, Dar es Salaam, leo 
Mpogolo akisalimia waombolezaji wengine
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole akisalimia waombolezaji alipowsili kwenye msiba huo. ZINAZOFUATA NI MATUKIO MBALIMBALI YA MSIBA HUO..

Waombolezaji

0 comments:

Post a Comment