THE POOL OF SILOAM CHURCH WAUOMBEA AMANI MKOA WA DAR ES SAALM NA TANZANIA KWA JUMLA, LEO


Wakili wa Mungu wa Kanisa la The Pool of Siloam, Elisha Eliya akiendesha sala maalum ya kuuombea amani mkoa wa Dar es Salaam na Tanzania kwa jumla wakati wa Ibada iliyofanyika leo, katika Kanisa hilo, Mbezi Makonde, jijini Dar es Salaam.
 Wakili wa Mungu wa Kanisa la The Pool of Siloam, Elisha Eliya akiendesha sala maalum ya kuuombea amani mkoa wa Dar es Salaam na Tanzania kwa jumla wakati wa Ibada iliyofanyika leo, katika Kanisa hilo, Mbezi Makonde, jijini Dar es Salaam. Zifuatazo ni picha zinazoonyesha taswira mbalimbali wakati wa sala hiyo. (PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO)
























  


















Mtendaji wa Wakili wa Mungu wa Kanisa la Pool of Siloam, Njia za Bwana  Ad2, akitoa ufafanuzi kwa Waandishi wa habari, kwa nini Kanisa hilo limeamua kufanya maombi maalumu ya kuuombea amani mkoa wa Dar es Salaam, na Tanzania kwa jumla ambapo amesema, Kanisa limeamua kufanya hivyo kwa kuwa Dar es Salaam, ndiyo kitovu cha Tanzania na hivyo ipo haja ya kuhakikisha mkoa unakuwa katika hali ya amani na utulivu ili amani hiyo ienee Tanzania yote.
   Tunajua yapo mambo mengi ambayo yameanza kuonekana kujaribu kutishia amani ya Tanzania, kwa namna moja au nyingine, kwa hiyo ni wakati wa viongozi wa dini mbalimbali kufakikisha tunashirikiana na Wananchi katika kulinda na kudumisha amani.

3 comments: Leave Your Comments

  1. Hongereni sana jitihada zenu za kuleta maendeleo Mimi mwenyewe nimethibitisha hayo nilipokuwa nanyi KIJIJI cha Mganza kama mwakilishi wa Mkuu wa wilaya, wilaya ya Uvinza kama mgeni Rasmi tunawaombea mzidi kubalikiwa na muumba katika jitihada zenu na tunaona kwa macho hata ya kawida mtafika mbali mbarikiwe sana.

    ReplyDelete
  2. Mtazidi kukumbukwa na viazi vyote kwa nguvu zenu mlizozitoa kwa kazi zote mzifanyazo ukiwa ni pamoja na jengo la wazazi zahanati ya Mganza Tarafa ya Nguruka wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma

    ReplyDelete
  3. Hongereni sana jitihada zenu za kuleta maendeleo Mimi mwenyewe nimethibitisha hayo nilipokuwa nanyi KIJIJI cha Mganza kama mwakilishi wa Mkuu wa wilaya, wilaya ya Uvinza kama mgeni Rasmi tunawaombea mzidi kubalikiwa na muumba katika jitihada zenu na tunaona kwa macho hata ya kawida mtafika mbali mbarikiwe sana.

    ReplyDelete