Sifa
 zote njema ni zake Mwenyezi Mungu Mtukufu aliyezikusanya Sekunde zikawa
 dakika, dakika zikawa Saa, saa zikafanya siku zilizounda wiki kisha 
zikawa mwezi kabla ya mwaka, kalne au jubilee. Nakushukuru  kwa dhati 
kwa wema na mapenzi yako Mungu uliyeichagua tarehe ya leo kutimiza miaka
 kadha ya umuri wangu. Aidha nakuomba uwahurumie wazazi wangu, ambao 
uliwateua kua sababu ya mimi kuja ulimwenguni, kama walivyonihurumia 
nilipokuwa mtoto. Walipe malipo mema kwa wema wao kwangu na uwajaliye 
(Amiin). Happy Birthday to Me.
 Mungu
 ninakuomba kwa huruma yako mzidishie mema baba yangu, Theado Liya 
aliyetangulia mbelea ya haki na umpumzishe katika nyumba yake ya milele,
 apumzike kwa amani na mwanga wa milele umpe eebwana. (Amiin) 
 Mungu
 ninakuomba kwa huruma yako mzidishie mema mama yangu mzazi, Agnes 
Nasoro umuri mrefu katika Dunia umuondolee maradhi (Amiin). (PICHA ZOTE 
NA KHAMISI MUSSA)





Happy bd
ReplyDelete