Mkuu wa Idara ya Biashara na Mlezi 
wa Wanafunzi wa Sekondari ya Tambaza, Abdul aziz Said  akizungumza na 
Wazazi  na wahitimu wa shule hiyo wakati wa Mahafali ya  Elimu ya Dini 
ya kiislam ya Sekondari ya kidato cha sita katika hafla iliyofanyika  
Shule hapo Dar es Salaam jana. kulia ni Amiri wa Daawah Msikiti wa 
Tambaza, Sayed Qadry. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) Mmiliki wa 
ujijirahaa blog.
 Mwanafunzi wa Kidato cha Sita, Maulidi Kassanga akisheherehesha kwa kusoma tenzi katika Mahafali hayo Dar es Salaam jana
 Wahitimu wakiwa katika utulivu wakisikiliza kwa umakini
 Wazazi na ndugu wakifatilia kilichokuwa kikiendelea ukumbini hapo
 Baadhi ya Wanafunzi hao
 Naib Imamu Msikiti wa Maamur, Haroub
 Khamis (kushoto) akizungumza jambo wakati wa hafla ya Mahafali ya Dini 
ya kiislam ya Sekondari ya kidato cha sita yaliyofanyika  Shule hapo Dar
 es Salaam jana ambapo wanafuzi hao wanajiandaa kufanya mitihani ya 
kumaliza kidato cha Sita
 Wanafunzi 
 Mgeni rasmi katika mahafali hayo, 
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (U.W.T) Upanga Magharibi, 
Hajati. Joha Simba (mwenye mtandio mweusi kichwani) akifatilia kwa 
umakini na wakwanza kushoto ni Mwalimu wa shule hiyo, Zuhura Gajo
  Mwalimu , Zuhura Gajo akipokea 
risala kutoka kwa muhitimu, Juma Kassim baada ya kuisoma na kukabidhiwa 
mgeni rasmi  katika mahafali hayo, ambaye ni Mwenyekiti wa Umoja wa 
Wanawake Tanzania (U.W.T) Upanga Magharibi, Hajati. Joha Simba (kulia)
 Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake 
Tanzania (U.W.T) Upanga Magharibi, Hajati. Joha Simba (kulia) 
akimkabidhi cheti mwanafunzi, Tausi Mohammed wakati wa hafla ya Mahafali
 ya Dini ya kiislam ya Sekondari ya kidato cha sita 
yaliyofanyika  Shule hapo Dar es Salaam jana ambapo wanafuzi hao 
wanajiandaa kufanya mitihani ya kumaliza kidato cha Sita
 Wanafunzi hao wakiomba Dua wakati walipokuwa wakimaliza mahafali hayo Dar es Salaam jana
 Amiri wa Daawah Msikiti wa Tambaza, 
Sayed Qadry (kulia) akizungumza na Wazazi na wanafunzi wakati wa 
Mahafali ya Dini ya Kiislamu katika Shule ya Sekondari ya Tambaza 
yaliyofanyika Dar es Salaam jana, kushoto ni  Mkuu wa Idara ya Biashara 
na Mlezi wa Wanafunzi wa Sekondari hiyo, Abdul aziz Said 
| Rajab Kassim (wa tatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja na marafiki zake mara baada ya kumalizika mahafali hayo Dar es Salaam jana | 
| Rajab Kassim, (wa pili kushoto) wakiwa katika nyuso za furaha mara baada ya kumalizika mahafali hayo jana | 
0 comments:
Post a Comment