WASIA NA LAILA WAMEREMETA KATIKA HARUSI YAO ILIYOFANYIKA HOUSTON, TEXAS NCHINI MAREKANI


Alhamis tarehe 29/12 Bw. Wasia Maya kutoka mjini Houston , Texas aliamua kuachana na kambi ya makapera na kufunga ndoa na Bi. Laila Martin.  Harusi hiyo ilifanyika nyumbani kwa Bw. Wasia na kuhudhuriwa na Watanzania wengi waishio katika jiji la Houston na miji ya jirani. Ijumaa ya tarehe 30/12 kulifanyika Nikka Dinner katika ukumbi wa Pakwan uliopo kwenye makutano ya barabara za HW6 na Beechnut . 
Endela kuona picha za Harusi na Nikka Dinner hapa chini
Maharusi wakiwa na sura za furaha 
Bw. Wasia na mkewe Bi. Laila
Bibi Harusi Bi. Laila


Bw. Wasia

Bi. Laila

Bw. Wasia akiwa kaka Said Nassor

Kaka Mohamed Msika , Bw. Wasia Maya na kaka Said Nassor


Maharusi
Kaka Ally Mjungu akiwa na Bw. Wasia Maya
Kaka Ally Mjungu , Bw. Wasia Maya na Uncle Shebby PambweBwana Wasia akiozeshwa 

The 1st kissNIKKA DINNER


Kaka Ramadhan Machapati, Kaka Kassim Daffa na Kaka Abdul


Bi. Amina na Bi. Zainab0 comments:

Post a Comment