MAZISHI YA MUASISI WA TANU KHADIJA KAMBA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi, akishiriki kubeba jeneza lenye mwili wa Muasisi wa TANU, Khadija Kamba, katika makaburi ya Kisutu, wakati wa mazishi yaliyofanyika leo, Desemba 01, 2016, katika makaburi hayo mjini Dar es Salaam. (Picha na Bashir Nkoromo).

NYUMBANI KWA KHADIJA KAMBAMAKABURI YA KISUTU0 comments:

Post a Comment