MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI SHIRIKISHO LA VYUO VYA ELIMU YA JUU-CCM TAWI LA UDSM WAFANYIKA LEO

 Kaimu Katibu Mtendaji wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu-CCM, Katibu Msaidizi wa CCM, Daniel Zenda akiwasili ukumbini kufungua mkutano mkuu wa uchaguzi wa Shirikisho hilo, tawi la Chuo Kikuu cha Dar es Salam, uliofanyika leo katika ukumbi wa DDC, Mwenge, Dar es Salaam, leo. Kushoto ni Katibu wa Seneti ya Shirikisho hilo mkoa wa Dar es Salaam, Enos Lupimo na watatu kushoto ni Katibu wa Shirikisho tawi la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Daudi Ngasa na kulia ni Katibu wa Dawati la ajira wa Shirikisho.
 CCM, Katibu Msaidizi wa CCM, Daniel Zenda wakati baada kufika meza kuu alipowasili ukumbini kufungua mkutano mkuu wa uchaguzi wa Shirikisho hilo, tawi la Chuo Kikuu cha Dar es Salam, uliofanyika leo katika ukumbi wa DDC, Mwenge, Dar es Salaam, leo. Kulia ni Mwenyekiti wa Shirikisho tawi la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Said Ngweha. Kushoto ni Kada wa CCM, Hamza Majuto, Katibu wa Dawati la ajira wa Shirikisho nan Katibu wa Seneti ya Shirikisho hilo mkoa wa Dar es Salaam, Enos Lupimo.
 Wajumbe wakiwa ukumbini
 Meza Kuu wakiwa tayari kufungua mkutano huo
 Katibu wa hamasa wa shirikisho tawi la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Is-haka Mirambo akichangamsha ukumbi
 Mwenyekiti wa Shirikisho tawi la UDSM, Said Ngweha, akimkaribisha Zenda kufungua mkutano huo wa Uchaguzi wa tawi hilo
 Wajumbe wakishangilia
 Katibu wa Seneti wa shirikisho mkoa wa Dar es Salaam, akizungumza  
 Kaimu Katibu Mtendaji wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu-CCM, Katibu Msaidizi wa CCM, Daniel Zenda akiwasili ukumbini kufungua mkutano mkuu wa uchaguzi wa Shirikisho hilo, tawi la Chuo Kikuu cha Dar es Salam, uliofanyika leo katika ukumbi wa DDC, Mwenge, Dar es Salaam, leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa Shirikisho hilo tawi la Chuo Kikuu cha na Watatu kushoto ni Seneta wa Shirikisho mkoa wa Dar es Salaam, Enos Lupimo
 Katibu wa Shirikisho tawi la UDSM, Daudi Ngasa akisoma taarifa ya tawi
 Waalikwa kutoka Chadema na ACT Wazalendo wakifuatilia hali ya mkutano
 Katibu huyo akikabidhi taarifa hiyo kwa Zenda baada ya kuisoma
 Zenda akinukuu baadhi ya taarifa iliyokuwa ikisomwa na Katibu wa tawi
 Magiti akitoa nasaha kabla ya uchaguzi kuanza
 Matefu akitoa tangazo la semina itakayofanyika Dar es Salaam, kuhusu kuunga mkono Juhudi za Rais Dk. John Magufuli kuinua uchumi wa taifa
 Zenda akisalimiana na Baadhi ya viongozi wa Chadema na ACT Wazalendo walioalikwa kwenye mkutano huo
 Mwenyekiti wa Wanaharakati Wazalendo-CCM Mwita Nyarukururu akisalimiana na viongozi baada ya mkutano kufunguliwa
 Zenda akiwa katika picha ya pamoja na viongozi
Magoti akisalimiana na Nyarukururu wakati wakitoka ukumbini baada ya mkutano kufunguliwa. Baadaye tutawaletea matokeo ya Uchaguzi huo:Picha zote na Bashir Nkoromo

0 comments:

Post a Comment