RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA RASMI MAJENGO KITEGA UCHUMI YA PPF NA NSSF JIJINI ARUSHA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, akihutubia wakazi wa arusha na wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF wakati alipozindua rasmi, Jengo la Kitegauchumi la Mfuko huo  (PPF) lililopo Mtaa wa Korido Jijini Arusha leo Mei 9, 2016.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, akimpongeza Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio, baada ya kuweka Jiwe la Msingi la uzinduai wa Jengo la Kitegauchumi la Mfuko huo lililopo Mtaa wa Korido Jijini Arusha leo Mei 9, 2016..

0 comments:

Post a Comment