LUHWAVI ATEMBELEA NA KUZUNGUMZA NA WANACHAMA WA CCM SHINA NAMBA TISA KITONGOJI CHA RELI CHINI, WILAYANI MWANGA MKOANI KILIMNAJARO LEO

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajabu Luhwavi akisalimiana na viongozi, baada ya kuwasili Ofisi ya CCM wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, kabla ya kwenda Shina namba katika Kitongoji cha Reli Chini kusikiiza kero za wanachama akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama wilayani humo leo. 
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajabu Luhwavi akizungumza na viongozi wa CCM wilaya ya mwanga mkoani Kilimanjaro, baada ya kuwasili na baadaye kwenda Shina namba katika Kitongoji cha Reli Chini kusikiiza kero za wanachama akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama wilayani humo leo. 
 Bango la viongozi ndani ya ofisi ya CCM wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro 
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajabu Luhwavi akiwasili kwenye Shina namba katika Kitongoji cha Reli Chini wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro kusikiiza kero za wanachama akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama wilayani humo leo. Kulia ni Katibu wa CCM wa wilaya hiyo Mwanaidi Mbisha
 Kina Mama katika shina hilo wakimlaki Luhwavi
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Bara, Rajabu Luhwavi akiwa amewasili tayari kusikiliza kero za wanachma wa CCM shina namba tisa, Kitongoji cha Reli Chini, wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro leo. Kushoto ni Katibu wa CCM wilaya hiyo Mwanaidi Mbisha, na wengine kutoka kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Utafiti na Mafunzo, Idara ya Itikadi na Uenezi Frank Uhahula, Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Deogratius Rutagumirwa na wapili kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa shina hilo Huseniel Msangi.
 Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Deogratius Rutagumirwa (kushoto)  akisalimia wanachama wa Shina hilo
 Mjumbe wa Shina namba tisa Huseniel Msangi akifungua kikao
 Kinamama wa shina hilo wakishangilia ujio wa Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Liuhwavi kwenye shina lao 
 Mwanachama wa CCM shina namba tisa Stela Lusekelo akisoma risala 
 Uhahula akisalimia wananchi

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Luhwavi akizungumza na wanachi wa shina hilo
 Mwanachama wa shina hilo akielezea vikundi vya miradi ya maendeleo
 Mwanachama wa shina hilo akieleza kero
 Mwenyekiti wa shina hilo akifunga kikao
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Bara-Rajabu Luhwavi akiwa katika picha ya pamoja na viongozi kutoka mkoani Kilimanjaro na wilaya la Mwanga pamoja na wanachama wa shila hilo baada ya kuzungumza nao leo. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

0 comments:

Post a Comment