JEMBE FESTIVAL LILIVYOFAYIKA UWANJA WA KIRUMBA JIJINI MWANZA

 Ruby akiimba  kwenye tamasha la Jembe Festival kwenye Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza.

 Rapa Stamina akiupagawisha umma na mistari iliyo simama kwenye tamasha la Jembe mjini Mwanza.
 Mr. Blu akirap nyimbo zake zilizompa umaarufu kwenye tamasha la Jembe lililofanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
 Diamond Platnumz na vijana wake wakishambulia jukwaa kwenye tamasha la Jembe lililofanyika kwenye viwanja vya CCM Kirumba mjini Mwanza.
 Msanii kutoka nchini Marekani Neyo akishambulia jukwaa na kuwapagawisha wakazi wa jiji la Mwanza .

Neyo akiwa pamoja na Diamond Platnumz jukwaani wakitambulisha nyimbo yao mpya.
Mgeni rasmi wa tamasha la muziki la Jembe , Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Jembe FM Dk. Sebastian Ndege kwenye chumba maalum nyuma ya jukwaa ,CCM Kirumba. BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

0 comments:

Post a Comment