MWENGE WA UHURU WAWASILI DAR ES SALAAM, MEI 16, 2016

Mwenge ukiwa umepokewa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ulipowsili ukitokea Zanzibar, Mei 16, 2016
 Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa,  George Mbijima akizungumza jambo na Mwenyekiti wa kikundi cha Kisedo cha Kimara, Diana Kijuu  wakati alipotembelea kikundi hicho maeneo ya Bunju 'A'  mara baada ya kukimbiza Mwenge ambapo mwenge huo utakesha maeneo hayo, (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)

 Kamanda  Siro (kulia) akizungumza jambo na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda wakiwemo na viongozi wengite kabla ya kuupokea Mwenge Jijini Dar es Salaam leo

 Mstahiki Meya wa manispaa ya Kinondoni Boniface Jacob (kushoto) wakiwa katika mazugumzo na viongozi wengine wakati walipokua wakiusubiri mwenge wa Uhuru  uliokua ukitarajiwa kufika katika uwanja wa Kimataifa wa JK. Nyerere ukitokea Mkaa wa Mjini Magharibi Zanzibar,
Mwalimu wa  Wanafunzi wa Shule ya Msingi Msewe, Faraja Urasa akiwa na wanafunzi hao wakati walipofika katika Ufunguzi wa Mradi wa Zahanati ya msewe ambayo iliyofunguliwa na Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa,  George Mbijima


0 comments:

Post a Comment