TASWIRA YA KIKAO CHA NEC YA CCM LEO JUMAPILI, MJINI DODOMA

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana baada ya kuwasili ukumbini kuendesha Kikao Maalum Cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, mjini Dodoma leo, Feb 16, 2014.
 Wajumbe wa NEC, na Kamati Kuu ya CCM, Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai  wakiwa ukumbini. Kushoto ni Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk. Asha-Rose Migiro.
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha NEC, leo Feb 26, 2014. Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana na kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Rais wa Zanzibar Dk. Sheni
 Sekretarieti ya Kikao Cha NEC ikiwa tayari kwa kazi ukumbini leo
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (kushoto) akimsikiliza kwa Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Steven Kazidi, wakati wakijadili jambo ukumbini. Katikati  ni Katibu wa NEC,Oganaizesheni Mohammed Seif Khatib
 Wajumbe wa NEC, Balozi Ali Mchumo na Dk. Asha-Rose Migiro wakijadili jambo ukumbini. Kushoto ni Khatib
 Wajumbe Ukumbini
 Wajumbe ukumbini
 Mjumbe wa NEC, Profesa Anna Tibaijuka akimtegea sikio kwa makini mjumbe mwenzake, Profesa Mark Mwandosya wakati wakiteta jambo ukumbini wakati wa kikao hicho leo.
 Makamu Mwenyekiti wa UVCCM, Mboni Mhita akimshauri jambo Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Juma Sadifa wakati wakiwa ukumbini kwenye kikao hicho.
  Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (kushoto) akimfafanulia jambo Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai wakati wakijadili jambo ukumbini. Katikati  ni Katibu wa NEC,Oganaizesheni Mohammed Seif Khatib
 Wajumbe ukumbini
 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ambaye pia ni Mjumbe wa NEC, akizungumza na waandishi baada ya kuhojiwa na Tume ya Maadili ya CCM leo, baadaye alihudhuria kikao cha NEC
 Waziri Membe akifurahia jambo na Naibu Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia nje ya ukumbi. Wapili kulia ni Januari Makamba
 Katibu Mkuu wa UVCCM mstaafu Martine Shigela akimweleza jambo Membe nje ya ukumbi
 Katibu Mkuu mstaafu wa UVCCM, Martine Shigela akiwatuza fedha waimbaji wa Kwaya wa UVCCM Dodoma, waliokuwa wakisherehesha mapokezi ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete nje ya ukumbi
 Ankal Issa Michuzi wa Michuzi Blog na Bashir Nkoromo wa theNkoromo Blog na CCM Blog, wakiwa na Waziri Juma Nkamia nje ya ukumbi
 Ankali Issa Michuzi wa Michuzi Blog akisalimiana na Naibu Waziri Januari Makamba nje ya ukumbi
 Membe na William Ngelejawakizungumza baada ya kuingia ukumbini
 Profesa Mark Mwandosya akizungumza jambo na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya Godfrey Zambiz nje ya ukumbi.
 Katibu Mkuu wa UVCCM Sixtus Mapunda na Katibu Mkuu wa UVCCM mstaafu, Martine Shigela wakiwa nje ya  ukumbi huku wakiwa wamejawa nyuso za furaha
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Uhuru Media (Uhuru FM), Angel Akilimali akiwa na wadau wenzake wa habari nje ya ukumbi mjini Dodoma. Imetayarishwa na theNkoromo Blog

0 comments:

Post a Comment