Wakati
 Tanzania na Dunia nzima kwa ujumla zikiadhimisha Siku ya Wanawake 
Duniani jana, Mwanamitindo nguli hapa nchini na Mtendaji 
Mkuu wa Kampuni ya Vitu Vya Khadija, Bi Khadija Mwanamboka aliungana na 
wanawake wengine jijini Dar es salaam katika kuisherehekea siku hiyo 
muhimu.
Akizungumza
 katika hafla hiyo, Mwanamboka alisema kuwa aliamua kuwaalika marafiki 
zake katika siku hiyo ili kuwataarifu mpango wake mpya alioupata kupitia
 Shirika lisilo la kiserikali la Sense International la nchini Uingereza
 lenye nia ya kuwasaidia watoto wenye ulemamu wa kusikia na kuona kwa 
pamoja waliopo hapa nchini, ambapo wataanzisha kitu kinaitwa Pendeza 
Kids Collection kwa kubuni mavazi mbalimbali ambayo yatauzwa katika Duka
 la Shirika hilo la Sense lililopo nchini Uingereza na zingine zitauwa 
hapa hapa nchini ili kuwasaidia watoto hao.
Hafla ya kuisherehekea siku hiyo adhimu kwa kina mama, ilifanyika katika Ukumbi wa Kamarambezi, Sea cliff jijini Dar es salaam.

Khadija
 Mwanamboka (kati) akiwa na Marafiki zake waliofika kumuunga mkono 
katika mpango wake mpya wa kuwasaidia Watoto wenye ulemavu wa kusikia na
 kuona alioshirikiana na Kam



Sehemu ya Marafiki wa Khadija Mwanamboka waliohudhulia hafla hiyo.
































0 comments:
Post a Comment