Kanaeli Urio, asheherehekea siku yake ya kuzaliwa leo nyumbani kwake Kigamboni
Mungu mzidishie maisha mema kiumbe wako huyu, Kanaeli Urio (kushoto) ni
 Mama mwenye kuijali familia yake na kuwa na hazina ya upendo kwa kila rika 
mama mwenye silaha
 kubwa ya upendo  utakao muweka katika ramani ya ubinadamu na kauli 
njema,  niwazi Mmiliki wa ujijirahaa blog anaungana nawe katika 
kusheherehekea siku ya kuzaliwa na kuzidi kutowa  pongezi
 kwa wako wazazi walokuzaa na kukulea vyema na kufikia hapo ulipo, Dua 
sala kwa maombi kuzidi kuwaombea popote walipo wazazi wako sambamba na 
Mr , ukarimu uwe jadi yako kwa kila rika. (Amiin). (PICHA NA KHAMISI MUSSA)

0 comments:
Post a Comment