RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA AZINDUA FILAMU YA UTALII NSHABA ONTWALE NYAKIJOGA 'NIPELEKE NYAKIJOGA'

Mgeni rasmi Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamini William Mkapa, akitoa neno kwa Wageni waalikwa kwenye Jioni ya Bwanjai, kabla ya kuzindua rasmi filamu ya NshabaOntwale Nyakijoga ' Nipeleke Nyakijoga ' Uzinduzi wa filamu hiyo ya utalii ulifanyika, katika Ukumbi wa Kardinali Rugambwa Social Centre, Oysterbay Jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi wa Jioni ya Bwanjai Rais Mstaafu Benjamini William Mkapa, akikabidhiwa filamu ya NshabaOntwale Nyakijoga ' Nipeleke Nyakijoga ' na Mrs Dorina Kilama tayari kwa ajili ya Uzinduzi huo, anayeshuhudia katikati ni Profesa Wenceslaus Kilama, uzinduzi wa filamu hii ya Utalii umefanyika Oktoba 21, 2016 katika ukumbi wa Kardinali Rugambwa Social Centre, Oysterbay Jijini Dar es Salaam. 
Mgeni rasmi Rais Mstaafu Benjamini William Mkapa, akikabidhi CD yenye filamu hiyo ' Nipeleke Nyakijoga '  ndugu Salum Salum ambae ni mwakilishi wa DSTV, ikiwa ni ishara ya kutambua mchango wa kampuni hiyo ambayo ilikuwa miongoni mwa wadhamini wa Usiku wa Bwanjai, Uzinduzi wa filamu hii ya Utalii umefanyika Oktoba 21, 2016 katika ukumbi wa Kardinali Rugambwa Social Centre, Oysterbay Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya waalikwa katika Uzinduzi wa filamu hiyo ya NshabaOntwale Nyakijoga ' Nipeleke Nyakijoga ' Uzinduzi wa filamu hii ya Utalii umefanyika Oktoba 21, 2016 katika ukumbi wa Kardinali Rugambwa Social Centre, Oysterbay Jijini Dar es Salaam.
Kikundi cha Ngoma kutoka Kantare, Bwanjai kikitoa Burudani maridhawa wakati wa Uzinduzi wa filamu ya NshabaOntwale Nyakijoga ' Nipeleke Nyakijoga ' Uzinduzi wa filamu hii ya Utalii umefanyika Oktoba 21, 2016 katika ukumbi wa Kardinali Rugambwa Social Centre, Oysterbay Jijini Dar es Salaam.
kwa hisani ya www.habari360.com

0 comments:

Post a Comment