Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula akisubiri kuvishwa skafu na Vijana wa CCM, alipowasili Ofisi ya CCM Wilaya ya Mkuranga kwa ajili ya kwenda kuwaunga mkono vijana 53 wanaosoma na waliohitimu Vyuo Vikuu 20, walioweka kambi ya kufyatua matofali 45,000 kwa ajli ya ujenzi wa mabweni na nyumba za walimu, katika shule ya Sekondari ya Nasabugani, iliyopo Kisiju, Wilayani humo mkoa wa Pwani.
Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula akivishwa skafu na kijana wa CCM, alipowasili Ofisi ya CCM Wilaya ya Mkuranga kwa ajili ya kwenda kuwaunga mkono vijana 53 wanaosoma na waliohitimu Vyuo Vikuu 20, walioweka kambi ya kufyatua matofali 45,000 kwa ajli ya ujenzi wa mabweni na nyumba za walimu, katika shule ya Sekondari ya Nasabugani, iliyopo Kisiju, Wilayani humo mkoa wa Pwani.
Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula akiwa kushoto kulia, kwenda katika ofisi ya CCM, kuzungumza na viongozi wa CCM wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani, alipowasili Ofisi ya CCM Wilaya ya Mkuranga kwa ajili ya kwenda kuwaunga mkono vijana 53 wanaosoma na waliohitimu Vyuo Vikuu 20, walioweka kambi ya kufyatua matofali 45,000 kwa ajli ya ujenzi wa mabweni na nyumba za walimu, katika shule ya Sekondari ya Nasabugani, iliyopo Kisiju, Wilayani humo mkoa wa Pwani
Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula akisalimia baadhi ya viongozi wa CCM kabla ya kuzungumza na viongozi wa CCM wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani, alipowasili Ofisi ya CCM Wilaya ya Mkuranga kwa ajili ya kwenda kuwaunga mkono vijana 53 wanaosoma na waliohitimu Vyuo Vikuu 20, walioweka kambi ya kufyatua matofali 45,000 kwa ajli ya ujenzi wa mabweni na nyumba za walimu, katika shule ya Sekondari ya Nasabugani, iliyopo Kisiju, Wilayani humo mkoa wa Pwani
Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula akisaini kitabu cha wageni kabla ya kuzungumza na viongozi wa CCM wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani, alipowasili Ofisi ya CCM Wilaya ya Mkuranga kwa ajili ya kwenda kuwaunga mkono vijana 53 wanaosoma na waliohitimu Vyuo Vikuu 20, walioweka kambi ya kufyatua matofali 45,000 kwa ajli ya ujenzi wa mabweni na nyumba za walimu, katika shule ya Sekondari ya Nasabugani, iliyopo Kisiju, Wilayani humo mkoa wa Pwani.
Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula akisaini kitabu cha wageni kabla ya kuzungumza na viongozi wa CCM wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani, alipowasili Ofisi ya CCM Wilaya ya Mkuranga kwa ajili ya kwenda kuwaunga mkono vijana 53 wanaosoma na waliohitimu Vyuo Vikuu 20, walioweka kambi ya kufyatua matofali 45,000 kwa ajli ya ujenzi wa mabweni na nyumba za walimu, katika shule ya Sekondari ya Nasabugani, iliyopo Kisiju, Wilayani humo mkoa wa Pwani. Kulia ni Mkuu wa wilaya ya Kisarawe, Philberto Sanga na Mwenyekiti wa CCM wilaya hiyo, Omar Kubwa.
Katibu Msaidizi wa CCM mkoa wa Pwani Mary Nchimbi akijadili jambo na Katibu wa UVCCM Wilaya ya Mkuranga Rashid Zungo, wakati wakisubiri kumskiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula katika Ofisi ya CCM Wilaya ya Kisarawe
Katibu Msaidizi wa CCm mkoa wa Pwani, Abiudi Shilla akimkaribisha kuzngumza, Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula
Katibu wa CCM, Wilaya ya Mkuranga Khadija Kusaga akitambulisha baadhi ya viongozi
Mkuu wa wilaya ya Mkuranga, Filbarto Sanga akitambulisha baadhi ya viongozi wa upande wake ikiwemo kamati ya Ulinzi na Usalamaya Wilaya hiyo
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mkuranga, Omari Kubwa akimkaribisha Makamu Mwenyekiti wa CCM Philip Magula kuzungumza na viongozi. Kushoto ni Katibu Msaidizi wa CCm mkoa wa Pwani Abiud Shilla
Makamu Mwenyekiti wa CCM, Philip Mangula akizungumza na viongozi wa CCM wilaya ya Mkuranga. Kulia ni Omari Kubwa
Makamu Mwenyekiti wa CCM, Philip Mangula akizungumza na viongozi wa CCM wilaya ya Mkuranga. Kulia ni Omari Kubwa
SHULENI NASIBUGANI
Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Philp Mangula akisalimiana na Mkuu wa shule ya Sekondari Nasibugani, Hillary Bwagidi, alipowasili, shuleni hapo kuwaunga mkono vijana 53 wanaosoma na waliohitimu Vyuo Vikuu 20, walioweka kambi ya kufyatua matofali 45,000 kwa ajli ya ujenzi wa mabweni na nyumba za walimu, katika hiyo iliyopo Kisiju, Wilayani humo mkoa wa PwaniMakamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Philp Mangula akisalimiana, alipowasili, shule ya Sekondari Nasibugani kuwaunga mkono vijana 53 wanaosoma na waliohitimu Vyuo Vikuu 20, walioweka kambi ya kufyatua matofali 45,000 kwa ajli ya ujenzi wa mabweni na nyumba za walimu, katika hiyo iliyopo Kisiju, Wilayani humo mkoa wa Pwani
Makamu Mwenyekiti wa CCM, PhilipMangula akiwa katika Ofisi ya Shule hiyo. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Pwani, Msinshehe Mlawa
Mwenyekiti wa Kambi iliyowekwa na vijana 53 wanaosoma na waliohitimu Vyuo Vikuu 20, walioweka kambi ya kufyatua matofali 45,000 kwa ajli ya ujenzi wa mabweni na nyumba za walimu, katika ya Nasibugani, Kisiju, Wilayani Kisarawe mkoa wa Pwani, Mwita Nyarykururu akimpatia maelezo Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula alipokagua chumba wanacholala vijana haoa
Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula akitoka kukagua chumba wanamolala vijana hao
Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani, Philberto Sanga akimkaribisha Makamu Mwenyekiti wa CCM, Bara PhilipMangula kuona wanapolala wanafunzi wa kidato cha tano na cha sia katika shule ya Nasabagani
NDANI WAAMOLALA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA CHA SITA
KUZUNGUMZA NA WAAKAMBI, WANAFYNZI NA WAZAZI NASABAGANI
Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philp Mangula akizungumzana Vijana walioweka kambi ya kufyatua matofali, wanafunzi na wazazi katika shule ya Nasabagani, baada ya kushiriki ufyatuaji matofali kwa ajili ya ujenzi wa mabweni na nyumba za walimu katika shule hiyo leo
NENO LA SHURANI
PICHA YA PAMOJA
KUAGANA
Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, PhilipMangula akiagana na Viongozi wa CCM wilaya la Mkuranga na mkoa wa Pwani, baada ya ziara yake ya siku moja kuhamasisha na kuunga mkono ufyatuajimatofali unaofanywa na vijana waliohitimu na wanaosoma katikavyuo hikuu 20 vya ndani na nje ya tanzania, kwa ajili ya ujenzi wa mabweni na nyumba za walimu katika shule ya Sekondari Nasabagani, Mkuranga mkoani Pwani, leo. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
0 comments:
Post a Comment