JK AKUTANA NA UJUMBE WA WATAALAM WALIOBOBEA KATIKA MASUALA YA KILIMO NA MIFUGO KUTOKA FUJIAN, CHINA


 Mwenyekiti Mstaafu wa CCM M, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete, akiwasili kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kukutana na ujumbe wa Umoja wa Ushirikiano na Nchi za Nje wa Wataalam wa masuala ya kilimo na Mifugo kutoka Fujian China, leo. Kushoto ni Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akiwa tayari kumpokea. 
 Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete, akipokewa na Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka, alipowasili kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kukutana na ujumbe wa Umoja wa Ushirikiano na Nchi za Nje wa Wataalam wa masuala ya kilimo na Mifugo kutoka Fujian China, leo
Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete, akisalimiana na Kaimu Katibu wa NEC, anayeshughulikia Uhusiano wa Kimataifa-SUKI, Pindi Chana, alipowasili kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kukutana na ujumbe wa Umoja wa Ushirikiano na Nchi za Nje wa Wataalam wa masuala ya kilimo na Mifugo kutoka Fujian China, leo
 Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete, akisalimiana na viongozi mbalimbali alipowasili kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kukutana na ujumbe wa Umoja wa Ushirikiano na Nchi za Nje wa Wataalam wa masuala ya kilimo na Mifugo kutoka Fujian China, leo

 Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete,akisalimiana na Mkurugenzi wa Jitegemee Trading Company, Ndugu Machunde, alipowasili kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kukutana na ujumbe wa Umoja wa Ushirikiano na Nchi za Nje wa Wataalam wa masuala ya kilimo na Mifugo kutoka Fujian China, leo
 Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete,akisalimiana na Katibu Msaidizi Mkuu Idara ya Mambo ya Nje-SUKI,Mama Chitinka, lipowasili kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kukutana na ujumbe wa Umoja wa Ushirikiano na Nchi za Nje wa Wataalam wa masuala ya kilimo na Mifugo kutoka Fujian China, leo
 Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete,akisalimiana na Mwanasheria wa CCM, Godwin Kunambi, alipowasili kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kukutana na ujumbe wa Umoja wa Ushirikiano na Nchi za Nje wa Wataalam wa masuala ya kilimo na Mifugo kutoka Fujian China, leo
 Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete,akisalimiana namtumishi wa CCM alipowasili kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kukutana na ujumbe wa Umoja wa Ushirikiano na Nchi za Nje wa Wataalam wa masuala ya kilimo na Mifugo kutoka Fujian China, leo
 Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete,akisalimiana namtumishi wa CCM alipowasili kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kukutana na ujumbe wa Umoja wa Ushirikiano na Nchi za Nje wa Wataalam wa masuala ya kilimo na Mifugo kutoka Fujian China, leo
 Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete,akisindikizwa na viongozi wa CCM, alipowasili kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kukutana na ujumbe wa Umoja wa Ushirikiano na Nchi za Nje wa Wataalam wa masuala ya kilimo na Mifugo kutoka Fujian China, leo
 Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete,akilakiwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana,  alipowasili kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kukutana na ujumbe wa Umoja wa Ushirikiano na Nchi za Nje wa Wataalam wa masuala ya kilimo na Mifugo kutoka Fujian China, leo
 Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete,akiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana kuingia Ofisini,alipowasili kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kukutana na ujumbe wa Umoja wa Ushirikiano na Nchi za Nje wa Wataalam wa masuala ya kilimo na Mifugo kutoka Fujian China, leo
 Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete,akiingia chumba cha mapumziko alipowasili kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kukutana na ujumbe wa Umoja wa Ushirikiano na Nchi za Nje wa Wataalam wa masuala ya kilimo na Mifugo kutoka Fujian China, leo. Kulia ni Katibu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimsindikiza
 Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete,akiwa katika chumba cha mapumziko,alipowasili kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kukutana na ujumbe wa Umoja wa Ushirikiano na Nchi za Nje wa Wataalam wa masuala ya kilimo na Mifugo kutoka Fujian China, leo
 Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete,akiwa katika chumba cha mapumziko,alipowasili kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kukutana na ujumbe wa Umoja wa Ushirikiano na Nchi za Nje wa Wataalam wa masuala ya kilimo na Mifugo kutoka Fujian China, le
 Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete, akiwa katika chumba cha mapumziko,alipowasili kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kukutana na ujumbe wa Umoja wa Ushirikiano na Nchi za Nje wa Wataalam wa masuala ya kilimo na Mifugo kutoka Fujian China, leo. Kulia ni Mwenyeji wake, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.
 Baadhi ya wajumbe wa upande wa Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete wakiwa katika ukumbi wa mazungumzo
 Baadhi ya wajumbe kutoka Fujin China wakiwa katika ukumbi wa mazungumzo 
 Baadhi ya wajumbe wa upande wa Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete wakibadilishana mawazo na mawasiliano na ujumbe kutoka Fujin China kabla ya mazungumzo rasmi kuanza
 Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Msafara wa  ujumbe wa Umoja wa Ushirikiano na Nchi za Nje wa Wataalam wa masuala ya kilimo na Mifugo kutoka Fujian China, Mwenyekiti wa Umoja huo, Li Lin, alipowasili ukumbini tayari kwa mazungumzo
 Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiwasalimia wajumbe kutoka Fujiani China
 Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi wa Idara ya Mambo ya Nje katika Ofisi ya Mambo ya Nje Jimbo la Fujian China, Vai Weimin
 Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akisalimia wajumbe mbalimbali
 Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akisalimia wajumbe mbalimbali  
 Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiwa ameketi tayari kwa mazungumzo
 Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiwa ameketi tayari kwa mazungumzo
 Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akianza  mazungumzo
 Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akisisitiza jambo kwenye mazungumzo hayo
 Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akisisitiza jambo kwenye mazungumzo hayo 
 Mwenyekiti mstaafu wa CCM akimpatia kipeperushi Mkuu wa msafara kutoka Jimbo a Fujian China
 Baadhi ya wajume wakitazama kipeperushi hicho
 Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akimkabidhi zawadi maalum Mkuu wa Msafara wa  ujumbe wa Umoja wa Ushirikiano na Nchi za Nje wa Wataalam wa masuala ya kilimo na Mifugo kutoka Fujian China, Mwenyekiti wa Umoja huo, Li Lin, baada ya mazungumzo hayo 
 Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akikabidhiwa zawadi maalum na Mkuu wa Msafara wa  ujumbe wa Umoja wa Ushirikiano na Nchi za Nje wa Wataalam wa masuala ya kilimo na Mifugo kutoka Fujian China, Mwenyekiti wa Umoja huo, Li Lin, alipowasili ukumbini tayari kwa mazungumzo 
  Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akikabidhiwa zawadi maalum na Mkuu wa Msafara wa  ujumbe wa Umoja wa Ushirikiano na Nchi za Nje wa Wataalam wa masuala ya kilimo na Mifugo kutoka Fujian China, Mwenyekiti wa Umoja huo, Li Lin, alipowasili ukumbini tayari kwa mazungumzo 
  Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akibadilishana mawazo Mkuu wa Msafara wa  ujumbe wa Umoja wa Ushirikiano na Nchi za Nje wa Wataalam wa masuala ya kilimo na Mifugo kutoka Fujian China, Mwenyekiti wa Umoja huo, Li Lin, alipowasili ukumbini tayari kwa mazungumzo
 Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe huo kutoka Fujian na Ujumbe wa upande  wake baada ya mazungumzo
 Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akimpongeza kwa kazi nzuri, Profesa wa masuala ya Kilimo, Lin Zhanx bada ya picha ya pamoja. Kikwete amevutiwa na Profesa huyo kwa kuweza kugudua uoteshaji wa uyoga mahsusi kwa dawa badala ya ule wa chakula tu. 
 Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akimtambulisha Profesa huyo, kwa Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Dkt. Charles Tizeba 
 Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiagana na mkuu wa msafara wa ujumbe huo kutoka Fujian
 Wageni wakipanda gari kuondoka Ofisi Ndogo ya MakaoMakuu ya CCM, Lumumba jijni Dar es Salaam, baada ya mazungumzo hayo
 Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiteta na Tizeba baada ya wageni kuondoka 
 Kisha naye akawaaga kabla ya kuondoka. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

0 comments:

Post a Comment