KELVIN JACKSON KATIKA GRADUATION YA KUMALIZA KIDATO CHA NNE SHULE YA TUSIIME, DAR ES SALAAM

Kijana Kelvin Jackson Kashasha akitafakari kwa furaha, wakati wa Mahafali ya kumaliza kidato cha Nne katika shule ya Tusiime,Kampasi ya Tabata, Dar es Salaam, jana, Septemba 17, 2016. Katika Sherehe hiyo ya aina yake, Wazazi wake akiwemo Baba na Mama Jackson Alex Kashasha, theNkoromo Blog, inamuombea mafanikio zaidi katika jitihada zake za masomo na pia kuwapongeza wazazi wake kwa juhudi kubwa wanazofanya kuhakikisha mtoto wao huyu anafika mbali katika masomo.
------------------------------------------------------
ZIFUATAZO NI TASWIRA MBALIMBALI KATIKA PICHA  WAKATI WA MAHAFALI HAYO
hapaaaa


Kelvin akiburudika na chakula mwishoni mwa sherehe za Graduation hiyo ambayo ilifanyika jana Septemba 17, 2016, katika Viwanja vya /Shule ya Tusiime, Tabata, Dar es Salaam, na kuhudhuriwa na mamia ya watu wakiwemo wazazi, wanafunzi wafanyakazi na walimu wa shule hiyo..
 PICHA ZOTE NA BASHIR NKORMO
Maoni niandikie nkoromo@gmail.com, Simu 0672 22 32 69

0 comments:

Post a Comment