MAADHIMISHO A MIKA 50 YA SEKONDARI YAWERUWERU

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ,  Mkewe Tunu  (wapili kulia),Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka  (kulia), Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dr. Mary Nagu  (kulia) kwa Waziri Mkuu na Mkuuwa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama  wakitazama  vitu mbalimbali vya mazoezi katika maabara ya Baiolojia  katika maadhimisho ya Shule ya Sekondari ya Wasicha ya Weruweru yaliyofanyika shuleni hapo. Septemba  21, 1013
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua Bwalo la Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Weruweru ya Moshi  Vijijini ikiwa na sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya shule hiyo Septemba 21, 2013
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipanda  mti kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Weruweru ya Moshi Vijijini  akiwa katika maadhimisho ya miaka 50 ya shule hiyo Septemba  21, 2013.  Wapili kushoto ni mkewe Tunu na Watatu kushoto ni Waziri wa  Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka na Wapili kulia ni Naibu Waziri  wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Kassim Majaliwa
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipanda  mti kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Weruweru ya Moshi Vijijini  akiwa katika maadhimisho ya miaka 50 ya shule hiyo Septemba  21, 2013.  Wapili kushoto ni mkewe Tunu na Watatu kushoto ni Waziri wa  Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka na Wapili kulia ni Naibu Waziri  wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Kassim Majaliwa
 Baadhi ya Wanawake waliosoma katika  Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Weruweru ya  Moshi Vijijini  wakiimba wimbo wa Shule hiyo katika maadhimisho ya miaka 50  ya shule hiyo   Septemba 21, 2013
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na baadhi ya  wanawake  mashuhuri  waliosoma katika   Shule ya Sekondari ya Wasichana  ya Weruweru ya Moshi Vijijini katika maadhimisho ya  miaka 50 ya Shule hiyo. Kutoka kulia ni Binti ya Waziri Mkuu, Fortunata Pinda,, Dr. Aha Rose Migiro, Dr. Mary Nagu ambaye ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwezeshaji na Uwekezaji,  na   Balozi Mwanaidi Maajar
 Mbunge wa Moshi Vijijini , Dkt. Cyril Chami  akitamka mchango wa  shilingi milioni mbili za kuchangia ukarabati wa majengo ya Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Weruweru yaMoshi Vijijini  akiwa katika maadhimisho ya miaka 50 ya shule hiyo. Septemba 21, 2013
 Baadhi ya waliohuhudhuria matika maadhimisho ya miaka 50 ya Shule ya Sekondari ya Wasichana  ya Weruweru yaMoshi Vijijini  wakiselebuka kwenye viwanja vya Shule hiyo Septemba  21, 2013.
 Baadhi ya waliohuhudhuria matika maadhimisho ya miaka 50 ya Shule ya Sekondari ya Wasichana  ya Weruweru ya Moshi Vijijini  wakiselebuka kwenye viwanja vya Shule hiyo Septemba  21, 2013. (Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe tunu (kushoto) wakisalimiana na Mkuu wa zamani wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Weruweru ya Moshi Vijijini, Mary Kham katika Maadhimisho  ya miaka 50 ya shule hiyo Septemba 21, 2013. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:

Post a Comment