MANGULA ASHIRIKI KUFYATUA MATOFALI KUUNGA MKONO VIJANA WANAOSOMA NA WALIOHITIMU VYUO VIKUU 20 WALIOWEKA KAMBI KUFYATUA MATOFALI KWA AJILI YA UJENZI WA MABWENI NA NYUMBA ZA WALIMU SHUE YA SEKONDARI NASIBUGANI, KISIJU WILAYANI MKURANGA MKOA WA PWANI LEO

 Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula akikarbishwa na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani Omari Kubwa, baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya CCM ya Wilaya hiyo, leo, kwa ajili ya kwenda kuwaunga mkono vijana 53 wanaosoma na waliohitimu Vyuo Vikuu 20, walioweka kambi ya kufyatua matofali 45,000 kwa ajli ya ujenzi wa mabweni na nyumba za walimu, katika shule ya Sekondari ya Nasabugani, iliyopo Kisiju, Wilayani humo mkoa wa Pwani. Mabweni ni kwa ajili ya Wanafunzi wa Kidato cha tano na cha sita, ambao kwa sasa wanalala chini katika chumba cha maabara ya shule hiyo. Kushoto ni Katibu Msaidizi wa CCM mkoa wa Pwani Abihudi Shilla
  Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula akisubiri kuvishwa skafu na Vijana wa CCM, alipowasili Ofisi ya CCM Wilaya ya Mkuranga kwa ajili ya kwenda kuwaunga mkono vijana 53 wanaosoma na waliohitimu Vyuo Vikuu 20, walioweka kambi ya kufyatua matofali 45,000 kwa ajli ya ujenzi wa mabweni na nyumba za walimu, katika shule ya Sekondari ya Nasabugani, iliyopo Kisiju, Wilayani humo mkoa wa Pwani. 
 Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula akivishwa skafu na kijana wa CCM, alipowasili Ofisi ya CCM Wilaya ya Mkuranga kwa ajili ya kwenda kuwaunga mkono vijana 53 wanaosoma na waliohitimu Vyuo Vikuu 20, walioweka kambi ya kufyatua matofali 45,000 kwa ajli ya ujenzi wa mabweni na nyumba za walimu, katika shule ya Sekondari ya Nasabugani, iliyopo Kisiju, Wilayani humo mkoa wa Pwani.
 Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula akiwa  kushoto kulia, kwenda katika ofisi ya CCM, kuzungumza na viongozi wa CCM wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani, alipowasili Ofisi ya CCM Wilaya ya Mkuranga kwa ajili ya kwenda kuwaunga mkono vijana 53 wanaosoma na waliohitimu Vyuo Vikuu 20, walioweka kambi ya kufyatua matofali 45,000 kwa ajli ya ujenzi wa mabweni na nyumba za walimu, katika shule ya Sekondari ya Nasabugani, iliyopo Kisiju, Wilayani humo mkoa wa Pwani
 Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula akisalimia baadhi ya viongozi wa CCM kabla ya kuzungumza na viongozi wa CCM wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani, alipowasili Ofisi ya CCM Wilaya ya Mkuranga kwa ajili ya kwenda kuwaunga mkono vijana 53 wanaosoma na waliohitimu Vyuo Vikuu 20, walioweka kambi ya kufyatua matofali 45,000 kwa ajli ya ujenzi wa mabweni na nyumba za walimu, katika shule ya Sekondari ya Nasabugani, iliyopo Kisiju, Wilayani humo mkoa wa Pwani

Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula akisaini kitabu cha wageni kabla ya kuzungumza na viongozi wa CCM wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani, alipowasili Ofisi ya CCM Wilaya ya Mkuranga kwa ajili ya kwenda kuwaunga mkono vijana 53 wanaosoma na waliohitimu Vyuo Vikuu 20, walioweka kambi ya kufyatua matofali 45,000 kwa ajli ya ujenzi wa mabweni na nyumba za walimu, katika shule ya Sekondari ya Nasabugani, iliyopo Kisiju, Wilayani humo mkoa wa Pwani.
 Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula akisaini kitabu cha wageni kabla ya kuzungumza na viongozi wa CCM wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani, alipowasili Ofisi ya CCM Wilaya ya Mkuranga kwa ajili ya kwenda kuwaunga mkono vijana 53 wanaosoma na waliohitimu Vyuo Vikuu 20, walioweka kambi ya kufyatua matofali 45,000 kwa ajli ya ujenzi wa mabweni na nyumba za walimu, katika shule ya Sekondari ya Nasabugani, iliyopo Kisiju, Wilayani humo mkoa wa Pwani. Kulia ni Mkuu wa wilaya ya Kisarawe, Philberto Sanga na Mwenyekiti wa CCM wilaya hiyo, Omar Kubwa.
 Katibu Msaidizi wa CCM mkoa wa Pwani Mary Nchimbi akijadili jambo na Katibu wa UVCCM Wilaya ya Mkuranga Rashid Zungo, wakati wakisubiri kumskiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula katika Ofisi ya CCM Wilaya ya Kisarawe 
 Katibu Msaidizi wa CCm mkoa wa Pwani, Abiudi Shilla akimkaribisha kuzngumza, Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula

 Katibu wa CCM, Wilaya ya Mkuranga Khadija Kusaga akitambulisha baadhi ya viongozi 
 Mkuu wa wilaya ya Mkuranga, Filbarto  Sanga akitambulisha baadhi ya viongozi wa upande wake ikiwemo kamati ya Ulinzi na Usalamaya Wilaya hiyo
 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mkuranga, Omari Kubwa akimkaribisha Makamu Mwenyekiti wa CCM Philip Magula kuzungumza na viongozi. Kushoto ni Katibu Msaidizi wa CCm mkoa wa Pwani Abiud Shilla
 Makamu Mwenyekiti wa CCM, Philip Mangula akizungumza na viongozi wa CCM wilaya ya Mkuranga. Kulia ni Omari Kubwa
 Makamu Mwenyekiti wa CCM, Philip Mangula akizungumza na viongozi wa CCM wilaya ya Mkuranga. Kulia ni Omari Kubwa


SHULENI NASIBUGANI
 Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Philp Mangula akisalimiana na Mkuu wa shule ya Sekondari Nasibugani, Hillary Bwagidi, alipowasili, shuleni hapo  kuwaunga mkono vijana 53 wanaosoma na waliohitimu Vyuo Vikuu 20, walioweka kambi ya kufyatua matofali 45,000 kwa ajli ya ujenzi wa mabweni na nyumba za walimu, katika hiyo iliyopo Kisiju, Wilayani humo mkoa wa Pwani
 Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Philp Mangula akisalimiana, alipowasili, shule ya Sekondari Nasibugani  kuwaunga mkono vijana 53 wanaosoma na waliohitimu Vyuo Vikuu 20, walioweka kambi ya kufyatua matofali 45,000 kwa ajli ya ujenzi wa mabweni na nyumba za walimu, katika hiyo iliyopo Kisiju, Wilayani humo mkoa wa Pwani
 Makamu Mwenyekiti wa CCM, PhilipMangula akiwa katika Ofisi ya Shule hiyo. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Pwani, Msinshehe Mlawa
 Mwenyekiti wa Kambi iliyowekwa na vijana 53 wanaosoma na waliohitimu Vyuo Vikuu 20, walioweka kambi ya kufyatua matofali 45,000 kwa ajli ya ujenzi wa mabweni na nyumba za walimu, katika ya Nasibugani, Kisiju, Wilayani Kisarawe mkoa wa Pwani, Mwita Nyarykururu akimpatia maelezo Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula alipokagua chumba wanacholala vijana haoa
 Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula akitoka kukagua chumba wanamolala vijana hao
 Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani, Philberto Sanga akimkaribisha Makamu Mwenyekiti wa CCM, Bara PhilipMangula kuona wanapolala wanafunzi wa kidato cha tano na cha sia katika shule ya Nasabagani


NDANI WAAMOLALA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA CHA SITA











KUZUNGUMZA NA WAAKAMBI, WANAFYNZI NA WAZAZI NASABAGANI













Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philp Mangula akizungumzana Vijana walioweka kambi ya kufyatua matofali, wanafunzi na wazazi katika shule ya Nasabagani, baada ya kushiriki ufyatuaji matofali kwa ajili ya ujenzi wa mabweni na nyumba za walimu katika shule hiyo leo

NENO LA SHURANI




PICHA YA PAMOJA






 KUAGANA



Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, PhilipMangula akiagana na Viongozi wa CCM wilaya la Mkuranga na mkoa wa Pwani, baada ya ziara yake ya siku moja kuhamasisha na kuunga mkono ufyatuajimatofali unaofanywa na vijana waliohitimu na wanaosoma katikavyuo hikuu 20 vya ndani na nje ya tanzania, kwa ajili ya ujenzi wa mabweni na nyumba za walimu katika shule ya Sekondari Nasabagani, Mkuranga mkoani Pwani, leo. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

CCM Blog

Posted in

Spread the love

KATIBU MKUU WA CCM, ABDULRAHMAN KINANA AKUTANA NA KATIBU MKUU WA CNDD-FDD

 Katibu Mkuu wa chama cha CNDD-FDD cha Burundi Evariste NdayishimIye akimzawadia Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kihifadhio cha vitu mbalimbali cha jadi ya Burundi, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo Oktoba Mosi 2016, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, Kushoto ni Msemaji wa CCM Christopher Ole Sendeka. 
  Katibu Mkuu wa chama cha CNDD-FDD cha Burundi Evariste NdayishimIye akimzawadia Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kihifadhio cha vitu mbalimbali cha jadi ya Burundi, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo Oktoba Mosi 2016, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, Kulia ni Mnadhimu Mkuu wa CNDD-FDD, Gerase Ndabirabe na Wapili ni Kaimu Balozi wa Burundi hapa ncini, Prefere Ndayishimiye na Kushoto ni Balozi David Kapya na  Msemaji wa CCM Christopher Ole Sendeka. 
 Katibu Mkuu wa chama cha CNDD-FDD cha Burundi Evariste NdayishimIye akimzawadia Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kihifadhio cha vitu mbalimbali cha jadi ya Burundi, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo Oktoba Mosi 2016, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, Kulia ni Mnadhimu Mkuu wa CNDD-FDD, Gerase Ndabirabe na Wapili ni Kaimu Balozi wa Burundi hapa ncini, Prefere Ndayishimiye na Kushoto ni Balozi David Kapya, Katibu wa Habari na Mawasiliano CNDD-FDD Nancy Mutoni,  na  Msemaji wa CCM Christopher Ole Sendeka. 
  Katibu Mkuu wa chama cha CNDD-FDD cha Burundi Evariste NdayishimIye akimzawadia Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ngoma ya Burundi inayotambulika Kimataifa,Burundi, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo Oktoba Mosi 2016, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, Kulia ni Mnadhimu Mkuu wa CNDD-FDD, Gerase Ndabirabe na Wapili ni Kaimu Balozi wa Burundi hapa ncini, Prefere Ndayishimiye na Kushoto ni Balozi David Kapya, Katibu wa Habari na Mawasiliano CNDD-FDD Nancy Mutoni,  na  Msemaji wa CCM Christopher Ole Sendeka.

 Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akimshukuru Katibu wa Habari na Mawasiliano wa CNDD-FDD, Nancy Mutoni baada ya mazungumzo ya Katibu Mkuu wa CCM na Katibu Mkuu wa CNDD-FDD
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimsindikiza mgeni wake Katibu Mkuu wa CNDD-FDD, Evariste Ndayishimiye, baada ya mazungumzo
 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimtoa katika jengo, kwenda kupanda gari Kaibu Mkuu wa chama cha CNDD-FDD Evariste Ndayishimiye, baada ya mazungumzo yao katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam leo 
 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiagana na Kaibu Mkuu wa chama cha CNDD-FDD Evariste Ndayishimiye, baada ya mazungumzo yao katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam leo 
 Msemaji wa CCM Christopher Ole Sendeka akiagana na Mnadhimu Mkuu wa chama cha CNDD-FDD, Gerase Ndabirabe baada ya mazungumzo ya Katibu Mkuu wa CCM na Katibu Mkuu wa CNDD-FDD leo Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam. Kulia ni Balozi David Kapya
 Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akiagana na Kaimu Balozi wa Tanzania hapa nchini Prefere Ndayishimiye baada ya Mazungumzo baina ya Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana (kulia) na Katibu Mkuu wa CNDD-FDD, leo Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam.
Gari lililombeba Katibu Mkuu wa chama cha CNDD-FDD Evariste Ndayishimiye, likiondoka Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salam, baada ya mazungumzobaina ya Katibu Mkuu huyo na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (Kulia). PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO.
CCM Blog

Posted in

Spread the love