Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO), Viongozi wa Taasisi mbalimbali, Wahariri wa Vyombo vya Habari, Madaktari, Waandishi wa Habari pamoja na Wapiga picha wakifanya mazoezi ya viungo ikiwa ni sehemu ya kulinda miili yao dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza pamoja na utekelezaji wa agizo la Mhe. Makamu wa Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan alilolitoa 17 Desemba, 2016 ambalo linawataka Watumishi wa Uma kazini kujenga utamaduni wa kufanya mazoezi. Mazoezi hayo yamefanyika jana Feb 18, 2017 katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) Mmiliki wa ujijirahaa blog.

Katibu
 Tawala Wilaya ya Kigamboni, Dar es Salaam, Rahel Muhando, aliyevaa 
flana nyekundu pichani, akishiriki katika mazoezi hayo 
Mratibu wa Magonjwa  yasiyo ambukiza Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii, Mkoa wa Dar es Salaam na Daktari Bingwa Hospitali ya Temeke, Digna (kulia) akishiriki mazoezi hayo
Mwenyekiti wa Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO), Innocent Mungy akizungumza jambo baada ya kumaliza mazoezi hayo
Mkurugenzi
 Mkuu wa Shirika la Utangazaji (TBC), Dk. Ayub Rioba akizungumza jamabo 
mara baada ya mazoezi hayo yaliyofanyika jana Dar es Salaam katika 
Viwanja vya Mnazi Mmoja, ambapo vipimo  mbalimbali vilifanyika bila 
malipo yoyote ikiwemo, Tezi dume, Vvu, wanawake kupima matiti kwa 
saratani ya matiti, plesha nakupata ushauri 
0 comments:
Post a Comment