MWAKILISHI MAALUM WA AU KUHUSU LIBYA, RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AKIWA JIJINI TUNIS, TUNISIA

 Mwakilishi Maalum wa AU kwa Libya Dkt Jakaya Kikwete akizungumza na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu Mheshimiwa Nabeer Al-Arabi jijini Tunis
 Mwakilishi Maalum wa AU kwa Libya Dkt.  Jakaya Kikwete akatika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Ofisi ya Uwakilishi ya AU kwa Libya alipotembelea ofisi zake za muda jijini Tunis
 Mwakilishi Maalum wa AU kwa Libya Dkt. Jakaya Kikwete katika mazungumzo na Naibu wa Kwanza wa Spika wa Bunge la Libya Mhe. Emhemed Shoaib jijini Tunis
 Mwakilishi Maalum wa AU kwa Libya katika mazungumzo na Makamu Mwenyekiti (Makamu wa Rais) wa Baraza la Utawala la Libya Mhe. Mousa El-Kouni jijini Tunis
 Rais Mstaafu na Mwakilishi Maalum wa AU kwa Libya Dkt, Jakaya Kikwete akibadilishana mawazo na Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Ulaya kuhusu Libya Bi.Helga Schmidt jijini Tunis
ZMwakilishi Maalum wa AU kwa Libya Dkt. Kikwete akiagana na Mwenyekiti (Rais) wa Barza la Utawala la Libya Mheshimiwa Fayez Al-Sarraj  baada y akufanya nae mazungumzo jijini Tunis

0 comments:

Post a Comment