MWENYEKITI WA CCM, RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AFUNGUA RASMI OFISI YA CCM WILAYA YA KIBAHA MJINI

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akisalimiana na baadhi ya viongozi wa CCM wilaya ya Kibaha mjini mkoa wa Pwani, baada ya kuwasili jana kwa ajili ya kufungua rasmi jengo la Ofisi ya CCM la wilaya hiyo. Anayesalimiana naye ni Selina Wilson, Diwani wa Kibaha mjini. Zifuatazo ni mfululizo wa picha za matukip mbalimbali aliyofanya Kikwete na wana CCM  wakati wa hafla hiyo.0 comments:

Post a Comment