HAPPY BESDEI JANET ALBART JACKSON KUTIMIZA MIAKA MITATU

   Akikata keki na rafiki zake katika mnuso huo uliofanyika nyumbani  kwa nyanya yake Kigamboni jijini Dar es Salaam
  Janet Jackson akilishwa keki na bibi yake  Suzana Sena ikiwa ni sehemu ya kusherehekea birthday ya mjukuu wake ya kutimiza miaka 3 hafala hiyo ilifanyika nyumbani kwao Kigamboni.
 Janeti  Albart akimlisha keki dada yake Suzan Timothi wakati wa birthday  yake ya kutimiza miaka 3 mnamo siku ya 10 January 2014.hafala hiyo ilifanyika nyumbani kwa o kigamboni Dar es Salaam.
 Joyce Sena  akilishwa keki na mwanae Janet  Albart wakati wa Birthday yake ya kutimiza miaka 3 .hafala hiyo ilifanyika nyumbani kwa babu na bibi yake Kigamboni jijini Dar es Salaam.
 Hongera mwanangu kwa kutimiza miaka mitatu. Janet Jackson akibusiwa na mama yake mzazi Joyce sena wakati wa Birthday hiyo.
 Janet  akifurahia jambo na rafiki yake Joyce wakati wa barthdya yake.
 Baadhi ya Marafiki wa janet wakiwa katika picha nya pamoja ikiwa ni sehemu ya kumpongeza kwa kutimiza miaka mitatu.
Janeth akiwa katika pozi wakati wa sherehe hiyo.

0 comments:

Post a Comment