TUGHE TAWI LA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI LAMPONGEZA MKURUGENZI MTENDAJI, PROFESA , LAWRENCE MUSERU

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru akizungumza na wafanyakazi Bora 2017  kabla ya kuwakabidhi vyeti wafanyakazi hao.
 Mwenyekiti wa Tughe  Tawi la  Hospitali ya Taifa Muhimbili, Mziwanda Chimwege (kulia) akisoma risala mbele ya mgeni rasmi ambaye alikuwa ni, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru (katikati)   wakati wa kuwapongeza wafanyakazi Bora wa 2017.kushoto ni Mkurugenzi wa Raslimali Watu wa Hospitali hiyo, Makwaia Makani.

 alisema Chimwege.

Chama cha Wafanyakazi Tawi la Hospitali ya Taifa Muhimbili pamoja na Tughe Mkoa tunapenda kukupongeza wewe na uongozi wote kwa uboreshaji wa huduma za wagonjwa, majengo na huduma  za mawasiliano, Chimwege aliendelea kusema 

Ninayo furaha na heshima kububwa kukukaribish wewe na wageni wote waalikuwa kwa kukubali kufika katika hafla hii ya kuwapongeza wafanyakazi wako Bora wa mwaka 2017, na katika kufika kwako kunamambo muhimu  matatu nayo nikama ifuatavyo. 

Kuwapongeza wafanyakazi wako hodari 49 wa Hospitali ya Taifa Munimbili waliokidhi vigezo vyakuwa bora  kati ya wafanyakazi wengine katika mchujo wa kuwashinda vigezo wengine ambapo utawazawadia vyeti  kwa kuwatambua wao ndio wenyewe haswa katika mwaka 2017 na tatu ni kusherehekea nao pamoja katika kula nao pamoja kwani nisiku pekee kwao na kwetu pia.Chimwege alisema,

Pamoja na sisi kwa niaba ya wafanyakazi wenzetu wengine ambao wanawajibika kutoa huduma kwa kuwahudumia wagonjwa mbalimbali kwa watanzania na wasio kuwa watanzania ambao wanawajibu wa kupata huduma. Chimwege aliendea kusema.

Pamoja na mambo niliyoyaeleza hapo huu napenda kukupongeza wewe binafsi na utawala wako mzuri kwa kupoke ombi la kuwapati zawadi wafanyakazi wako wa Hospitali ya Taifa Muhimbili. alisema Chchimwege. 

Ninaimani wafanyakazi hawa wameifurahia zawadi iliyotolewa na Hospitali pia tunapenda kukupongeza wewe binafsi pamoja na uongozi wako kwa juhudi mbalimbali unazozifanya katika urekebishaji wa huduma bora kwa wagonjwa, uboreshaji wa majengo pamoja na huduma za mawasiliano ya (IT).

Kwa kiasi fulani sasa mabadilikoyanaonekana na tunawapongeza kwa hayo na Mungu awabariki na kuwaongoza na pamoja na pongezi hizo Tawi la Tghe Hospitali ya Taifa na Tughe Mko tunakuomba san kuwa na Moyo wa huruma kwa kuboresha viwango vya utowaji wa huduma kwa wengine watakao patikana kwa mwaka 2018.

Zawadi tunazo pendekeza tunaomba uchukue ukayafanyie kazi kwani tungepend kuona zawadi hizo zikatolewa na mkuu wa nchi kulinga na jina la Hospitali yetu kwani tunahitaji kumpata mfanyakazi bora wa Kitaifa ambye atakabidhi zawadi hizo na Rais wa Jamhuri ya Muungano. 

Zawadi hizi zitaongeza nidhamu majumbani na mahala pao pa kazi na kuongeza maarifa, ninaimani ombi hili litachukulikiwa na akulifanyia kazi mfanyakazi wani alama mlizopata katika tadhini ya mojamoja mfululizo kwa miaka mitatu mpaka kuchaguliwa.

Hivyo naomba mkazilinde alama hizo na kwa imani yangu  muweze kuwa wafanyakazi bora na kwa
2017 na 2018 katika mpango wa mkakati wa Hospitli yw mwaka tunategeme nguvukazi hii hivyo basi changamoto ya ucheleweshaji wa malipo, yani posho, IPPM, NHIF, Likizi nimuhimi viwe vinalipwa kwa wakati ili kuongeza morali ya kazi na naomba kusema asanteni kwa kunisikiliza 
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru (kulia) akiongozana na Mkurugenzi wa Raslimali Watu wa Hospitali hiyo, Makwaia Makani wakati walipokuwa wakiingia katika viwanja vya michezo vilivyopo eneo la Muhimbili wakati wa hafla fupi ya kuwazawadia vyeti wafanyakazi Bora 49 wa hospitali ya Taifa Muhimbili



Katibu Muhutasi, Mwajuma Kissengo akizungumza kwa niaba ya wafanyakazi bora wenzake, ambapo alianza na kumshukuru  Mkurugezi wetu kutufikiria kwa kutupatia zawadi kwa kweli sisi wafanyakazi bora tunakushukuru wewe na uongozi wako na tunawaombea kwa Mungu azidi kuwa bariki. Kissengo aliendele kusem kwa kuwaomba wafanyakazi wenzake kwa kutobweteka kwa zawadi walizozipata.

Tuendeleze rekodi ya kuwa wafanyakazi bora kwa kuongeza juhudi na maarifa katika kujituma kufanya kazi kwa bidii na tupate tena kuwa wafanyakazi bora  baada ya miaka mitatu. Kissengo alisema. 

Tunkupongeza wewe na Timu yako kwa yote mnayo endelea kuyafanya katika kuiboresha Hospitali yetu na tunakushukuru sana kwa kutenga muda wako na kupata kufahamiana na hii yote ni kwa upendo wako kwa kutujali kwa kuwa na upendo na wafanyakazi wako na bila wewekutuandalia hafla hii wengiune usinge wafahamu ambao wengine ulikuwa unawasoma kwenye makaratasi.

Pia tunapenda kushukuru uongozi wa Tughe pamoja na uongozi wako kwa kutujali na pia tunakuomba uendelee kutujali na Mungu azidi kukubariki, nasema asante sana.
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru akifunga muziki katika hafla hiyo na Katibu Muhutasi, Mwajuma Kissengo. Kulia ni Mwenyekiti wa Tughe  Tawi la  Hospitali ya Taifa Muhimbili, Mziwanda Chimwege 
Wageni waalikwa
Baadhi ya wafanyakazi bora na wageni waalikwa





Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru (wa pili kulia) akimkabidhi cheti cha Mfanyakazi Bora Mstaafu, Mkuu wa Idara ya Magonjwa ya Kike na Uzazi Hospitali ya Taifa Muhimbili .Dokt. Mathew Kallanga. kuanzia kulia ni Mwenyekiti wa Tughe  Tawi la  Hospitali ya Taifa na wapili kushoto ni Mkurugenzi wa Raslimali Watu, Makwaia Makani. 






Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru (wa pili kushoto waliokaa) katika picha ya pamona na wafanyakazi bora 49 wa mwaka  2017. wa Hospitali ya Taifa Muhimbili 

Baadhi ya wafanyakazi bora Wakiburudika na waalikwa waliofika katika hafla hiyo 
Baadhi ya Wafanyakazi bora na wageni waalikwa

0 comments:

Post a Comment