NEEMA KILUFI APONGEZWA RASMI NA WANAFAMILIA KATIKA HAFLA ILIYOFANYIKA DAR ES SALAAM

Bi harusi Neema Kulufi pichani akiwa katika tabasamu kwa furaha
Bi harusi Neema Kulufi akiwa na tabasamu

Bi harusi mtarajiwa Neema Kilufi akiwa katika pozi kabla ya kuingia ukumbini

Bi harusi mtarajiwa Neema Kilufi akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya ndugu
Bi harusi mtarajiwa Neema Kilufi akipambwa na mwanamitindo ambaye ni mpambaji maarufu anayepatikana eneo la Msuguri Jijini Dar es Salaam, Neema Kagoma
Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya Shughuli ya Bi harusi mtarajiwa Neema Kilufi ambaye ni mtaalam wa mawasiliano kwa njia ya Compyuta katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Mishipa ya fahamu na Upasuaji wa Ubongo Muhimbili (MOI), Josph Kilufi (wa kwanza kulia) akizungumza jambo wakati walipopewa nafasi na MC kutowa zawadi yao ya kamati  
 Bi harusi mtarajiwa Neema Kilufi akiweka sawa hereni 
 Bi harusi mtarajiwa Neema Kilufi akiwa katika pozi 

Wema wa Mungu ni mkubwa Sihitaji kudondoka kama mgomba wa ndizi, nikichukua ndizi kwa maandalizi ya kumuandalia chakula mume wangu ambapo kwa mara ya kwanza nitamlisha ukumbini, Mungu sina cha kukulipa zaidi ya kusema asante kunipa Mume mwenye kuijua thamani yangu

 Bi harusi mtarajiwa Neema Kilufi katika pozi na ndugu zake
 Bi harusi mtarajiwa Neema Kilufi akiwa katika pozi akiwa ameshika pochi la kisasa

 Bi harusi mtarajiwa Neema Kilufi akiwa katika pozi na mama yake mzazi Redemta Kilufi
 Bi harusi mtarajiwa Neema Kilufi (wa tatu kushoto) akiwa na familia yake, kuanzia kushoto ni dada wa Sylvia Kilufi,  mama wa biharusi mtarajiwa, Redemta Kilufi, mama mkubwa wa biharusi mtarajiwa, Advoncia Kilufi na wapili kulia ni Meneja wa Jengo la watoto katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Anna Kilufi mrs Mponeja  na kulia ni Happy Kilufi
Ukumbi 
Baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili MOI, wakifurahia jambo wakati kamati ya Sherehe hiyo ilipokuwa ikiingia Ukumbini ikiwaingiza wazazi wa bwana harusi 
kamati ya Sherehe ikiingia Ukumbini na wazazi wa bwana harusi wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mtaalam wa mawasiliano kwa njia ya Compyuta katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Mishipa ya fahamu na Upasuaji wa Ubongo Muhimbili (MOI), Josph Kilufi (mwenye shati nyeupe)

MC Tetere akisherehesha sherehe hiyo 



 Bi harusi Neema Kilufi akiwa katika pozi na kaka yake, John Charles 
 Bi harusi Neema Kilufi akiingia Ukumbini na mpambe wake John Charles ambaye ni kaka yake








Baadhi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili wakigonganisha glas na bi harusi mtarajiwa wakiongozwa na Rehema Fuko 
Familia ya bwana harusi wakigonganisha glas na bi harusi mtarajiwa  
Mpambe wa bi harusi, John Charles ambaye ni kaka akinyweshana kinywani cha shampeni 
 Bi harusi mtarajiwa Neema Kilufi akikata keki, kulia ni kaka yake bi harusi 


 Bi harusi mtarajiwa Neema Kilufi akiikabidhi keki familia yake 
 Bi harusi mtarajiwa Neema Kilufi akiikabidhi keki familia ya bwana harusi mtarajiwa wakati wa Sherehe yake ya kupongezwa iliyofanyika katika Ukumbi wa Tazara Jijini Dar es Salaam
Ndugu na jamaa wa  Bi harusi mtarajiwa Neema Kilufi wakicheza 
 Bi harusi mtarajiwa Neema Kilufi akimvisha Bwana harusi mtarajiwa, Severine Shawa  Saa wakati
 Bi harusi mtarajiwa Neema Kilufi akiwa katika tabasamu la kukata na shoka wakati alipokuwa akimlisha chakula mumewake, Severine Shawa.  (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)



Msanii wa nguvu na haijawahi kutokea kama msanii, Mama mtakatifu  kutoka Mtoni alivyokuwa akitowa burudani katika Sherehe hiyo na kuwaacha midomo wazi watu waloyohudhuria Sherehe hiyo ya kuagwa kwa Biharusi mtarajiwa Neema Kilufi iliyofanyika Ukumbi wa Tazara Jijini Dar es Salaam 



Familia ya mama mzazi wa Biharusi katika picha ya pamoja 

Wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili waliyomuunga mkono mfanyakazi mwenzao ambaye ni Meneja wa Jengo la watoto katika Hospitali hiyo,  Anna Kilufi (wa kwanza kushoto)

0 comments:

Post a Comment