Wahitimu 29 wa kidato cha nne shule ya Sekondari Agape Knowledge Open School wakiingia ukumbini wakati wa mahafali ya kwanza katika shule hiyo leo Ijumaa Oktoba 20,2017- Picha zote na Kadama Malunde - Malunde1 blog Maandamano kuelekea ukumbini Mgeni rasmi na viongozi mbalimbali wakiwa katika maandamano kuelekea ukumbini Mgeni rasmi ,Afisa Elimu Taaluma mkoa wa Shinyanga,James Malima kwa niaba ya Mkuu wa mkoa wa Shinyanga,Zainab Telack akizungumza wakati wa mahafali ya kwanza ya kidato cha nne katika shule...
SEND OFF YA MKE MTARAJIWA WA CUTHBERT MIDALA, BI CATHERINE ILIVYOFANA DAR
Mke Mtarajiwa wa Ofisa wa Makao Makuu ya CCM, Cuthert Midala, Bi Catherine Nyamoni akiwa mwenye tabasamu la uhakika, wakati wa Send Off yake, iliyofanyika jana jioni, katika ukumbi mwanana wa Danken House, Mikocheni jijini Dar es Salaam, Zifuatazo ni picha zaidi ya 200 zikisawiri tukio lote mwanzo hadi mwisho. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO ...
No Comments Yet
Add your comment