NEW YORK YAMJADILI TENA TEMBO, MJADALA WAONGOZWA NA CHELSEA CLINTON, TANZANIA YASHIRIKI

 Mkurugenzi Mtendaji wa  ABC HOME Paulette Cole akiwakaribisha wanajopo na wageni waalikwa katika majadiliano  kuhusu tembo,  majadiliano hayo yalifanyika siku ya jumanne usiku  Jijini New York.
Chelsea Clinton, Makamu Mwenyekiti wa Clinton Foundation,  na ambaye aliongoza majadiliano hayo  akiwatambulisha wanajopo, kutoka kushoto ni  Bw. John Heminway, Balozi Tuvako Manongi,    kati kati ni Chelsea  Bint wa Rais Bill na Hilary Clinton,  kulia kwa Chelsea ni   Bw. Bryan Christy na  anayefuatia  ni   Bw. Josh Ginsberg kutoka Wildlife Conservation Society. Heminway na Christy ni waandishi na watunga filamu na kwa pamoja wametengeneza filamu ijulikanayo kama  "The Battle for Elephants". Filamu   hiyo  itaonyeshwa  February 27 kupitia  Channel ya National Geograpy.
 Hapana shaka kwamba Hatari ya kutoweka kwa tembo barani afrika,  ni jambo  linalowagusa wengi, washiriki wa majadiliano hayo walitumia fursa hiyo kujifunza siyo tu hatari ya kutoweka kwa  mnyama  huyo, lakini pia uzuri na sifa zake, na namna gani wanaweza kuchangia  kuhakikisha  hatoweki kabisa
 Wadau wa mjadala wakiwa ukumbini
 Waandishi wa habari walikuwepo kwa wingi
Washiriki wakiwa ukumbini

FAMILY DAY YA WAFANYAKAZI WA MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA) KANDA YA MASHARIKI ILIVYONOGA.

 Meneja wa  Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki  inayoundwa na mikoa  mitano ya Dar es Salaam, Morogoro,Pwani, Lindi na Mtwara , Eng.Oscar Mwanjesa akiongea  jambo kwa wafanyakazi wa TCRA walioambatana na familia zao katika siku ya  Family Day iliyofanyika   katika ufukwe wa hoteli ya Livingston Wilayani Bagamoyo  mkoani Pwani.
 Meneja wa  Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki  inayoundwa na mikoa  mitano ya Dar es Salaam, Morogoro,Pwani, Lindi na Mtwara , Eng.Oscar Mwanjesa. Akisakata dansi na wafanyakazi na Katibu Mhitasi Halima Magonga (kulia)wakati wa siku ya FamilyDay iliyofanyika  jana katika Hoteli ya   Livingstone Wilayani Bagamoyo.
  Wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)  wakishindana kufukuza kuku wakati wa Family Day iliyofanyika katika ufukwe wa  Hoteli  ya Livingston Bagamoyo ,siku  hiyo iliwashirikisha wafanyakazi na familia zao.
 Meneja wa  Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki  inayoundwa na mikoa  mitano ya Dar es Salaam, Morogoro,Pwani, Lindi na Mtwara , Eng.Oscar Mwanjesa  akimkabidhi  mmoja wa wafanyakazi wa TCRA Juhudi Ngozi Kuku baada ya kuwashinda wenzake wakati wa  Family Day iliyofanyika   katika hoteli ya Livingston Wilayani Bagamoyo .Anayeshudia ni Mhasibu wa Mamlaka hiyo Patrice Lumumba.
 Watoto wa wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)Kanda ya Mashariki  wakishindana kufukuza kuku wakati wa Family Day iliyofanyika katika ufukwe wa Hotel ya Livingston Wilayani Bagamoyo siku hiyo ni maalumu kwa wafanyakazi na familia zao.
 Mhasibu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki Patrice Lumumba akiongea jambo kwa wafanyakazi wenzake pamoja na familia zao katika  Family Day iliyofanyika katika Hotel ya Livingstoni Wilayani Bagamoyo
 Meneja wa  Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki  inayoundwa na mikoa  mitano ya Dar es Salaam, Morogoro,Pwani, Lindi na Mtwara , Eng.Oscar Mwanjesa  akimkabidhi  Kuku David Mapunda, baada ya kuibuka mshindi wa kwanza wa kukimbia na gunia wakati wa  siku ya Family Day iliyofanyika   katika ufukwe wa hoteli ya Livingston Wilayani Bagamoyo.
 Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) Kanda ya Mashariki  Eng. Oscar Mwanjesa, akimkabidhi   Zainabu  Sadiki kuku baada ya kuibuka mshindi wa  shindano la kukimbia na gunia wakati wa siku ya family Day ya wafanyakazi wa Mamlaka hiyo iliyofanyika katika hoteli ya Livingston Bagamoyo.
 Baadhi ya watoto wa wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wakishindana kukimbia na gunia  wakati wa siku ya family Day ya wafanyakazi wa Mamlaka hiyo iliyofanyika katika hotel ya Livingston Bagamoyo.
 Baahi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja na familia zoa wakati wa siku ya familyDay iliyofanyika katika Hoteli ya Livingston Bagamoyo.
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) Kanda ya Mashariki  inayoundwa na mikoa mitano ya Morogoro,Pwani, Mtwara.Lindi,na Dar es Salaam. Wakiwa katika picha ya pamoja na familia zao wakati wa siku ya family Day iliyofanyika  katika Hoteli ya Livingston iliyop Wilayani Bagamoyo.

TASWIRA YA KIKAO CHA NEC YA CCM LEO JUMAPILI, MJINI DODOMA

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana baada ya kuwasili ukumbini kuendesha Kikao Maalum Cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, mjini Dodoma leo, Feb 16, 2014.
 Wajumbe wa NEC, na Kamati Kuu ya CCM, Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai  wakiwa ukumbini. Kushoto ni Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk. Asha-Rose Migiro.
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha NEC, leo Feb 26, 2014. Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana na kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Rais wa Zanzibar Dk. Sheni
 Sekretarieti ya Kikao Cha NEC ikiwa tayari kwa kazi ukumbini leo
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (kushoto) akimsikiliza kwa Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Steven Kazidi, wakati wakijadili jambo ukumbini. Katikati  ni Katibu wa NEC,Oganaizesheni Mohammed Seif Khatib
 Wajumbe wa NEC, Balozi Ali Mchumo na Dk. Asha-Rose Migiro wakijadili jambo ukumbini. Kushoto ni Khatib
 Wajumbe Ukumbini
 Wajumbe ukumbini
 Mjumbe wa NEC, Profesa Anna Tibaijuka akimtegea sikio kwa makini mjumbe mwenzake, Profesa Mark Mwandosya wakati wakiteta jambo ukumbini wakati wa kikao hicho leo.
 Makamu Mwenyekiti wa UVCCM, Mboni Mhita akimshauri jambo Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Juma Sadifa wakati wakiwa ukumbini kwenye kikao hicho.
  Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (kushoto) akimfafanulia jambo Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai wakati wakijadili jambo ukumbini. Katikati  ni Katibu wa NEC,Oganaizesheni Mohammed Seif Khatib
 Wajumbe ukumbini
 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ambaye pia ni Mjumbe wa NEC, akizungumza na waandishi baada ya kuhojiwa na Tume ya Maadili ya CCM leo, baadaye alihudhuria kikao cha NEC
 Waziri Membe akifurahia jambo na Naibu Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia nje ya ukumbi. Wapili kulia ni Januari Makamba
 Katibu Mkuu wa UVCCM mstaafu Martine Shigela akimweleza jambo Membe nje ya ukumbi
 Katibu Mkuu mstaafu wa UVCCM, Martine Shigela akiwatuza fedha waimbaji wa Kwaya wa UVCCM Dodoma, waliokuwa wakisherehesha mapokezi ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete nje ya ukumbi
 Ankal Issa Michuzi wa Michuzi Blog na Bashir Nkoromo wa theNkoromo Blog na CCM Blog, wakiwa na Waziri Juma Nkamia nje ya ukumbi
 Ankali Issa Michuzi wa Michuzi Blog akisalimiana na Naibu Waziri Januari Makamba nje ya ukumbi
 Membe na William Ngelejawakizungumza baada ya kuingia ukumbini
 Profesa Mark Mwandosya akizungumza jambo na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya Godfrey Zambiz nje ya ukumbi.
 Katibu Mkuu wa UVCCM Sixtus Mapunda na Katibu Mkuu wa UVCCM mstaafu, Martine Shigela wakiwa nje ya  ukumbi huku wakiwa wamejawa nyuso za furaha
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Uhuru Media (Uhuru FM), Angel Akilimali akiwa na wadau wenzake wa habari nje ya ukumbi mjini Dodoma. Imetayarishwa na theNkoromo Blog

RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO MAALUM CHA NEC MJINI DODOMA LEO

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwasili katika ukumbi wa Sekretarieti katika Jengo la White House la Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma kuongoza kikao maalum cha Hamlashauri Kuu ya Taifa (NEC). Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein na kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitoa neno la Utangulizi kabla ya Rais Kikwete kufungua kikao hicho na kukiongoza
Rais Jakaya Kikwete, Rais Dk. Shein na Kinana wakiwa wamesimama kuongoza wajumbe ambao pia walisimama kuwakumbuka viongozi waliofariki hivi karibuni 
Wajumbe Makamu wa Rais Dk. Bilal na Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakiwa ukumbini
Wajumbe wakiwa ukumbini
Wajumbe ukumbini
Naibu Katibu Mkuu wa CCM na Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba akiteta jambo na mjumbe mwenzake
 Wajumbe ukumbini
Wajumbe ukumbini
Wajumbe wakiwa ukumbini
Wajumbe  na Makatibu wa Sekretarieti wakiwa ukumbini. Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa UVCCM, Sixtus Mapunda, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye, Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk Ash-Rose Migiro, Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha Mama Zakia Meghji na katibu Mkuu wa Jumuia ya Wazazi Taifa

Taswira ya wajumbe ukumbini wakati JK akiongoza kikao
 Wajumbe wa kikao hicho Martine Shigela na Bernard Membe wakigongeshana viganja kufuarhia jambo
Katibu Mkuu wa UVCCM mstaafu, Shigela na Katibu Mkuu wa UVCCM wa sasa Mapunda wakichati ukumbini
Mwigulu Nchemba na Nape wakiteta jambo

Wajumbe ukumbini
Wajumbe ukumbini

Wajumbe Spika wa Bunge Anna Makida na Spika wa Barza na wawakilishi Mzee Kificho wakiwa ukumbini
Ma-Ankali wakiwa ukumbi wa NEC wakati kikao hicho kinafunguliwa na JK

Wajumabe Shamsivuai Nahodha na Ally Karume wakiteta jambo nje ya ukumbi; Imetayarishwa na theNkoromo Blog