MKE WA RAIS, MAMA SALMA KIKWETE ATINGA CHUO KIKUU CHA MONMOUTH NEW JERSEY, MAREKANI

 Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akipokewa rasmi na Dr. Paul Brown, Rais wa Chuo Kikuu cha Monmouth kilichoko huko New Jersey nchini Marekani mara tu baada ya kuwasili chuoni hapo tarehe 24.9.2013. Mama Salma yupo nchini Marekani akifuatana na Rais Jakaya Kikwete anayehudhuria Mkutano wa 68 wa Umoja wa Mataifa unaofanyika New York.
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa juu wa Chuo Kikuu cha Monmouth baada ya kuwasili chuoni hapo. Kulia kwa Mama ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dr. Hussein Mwinyi akifuatiwa na Naibu Balozi wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa Ramadhani Mwinyi, na Ms Janet Mahoney,wa Chuo Kikuu cha Monmouth na kushoto kwa Mama Salma ni Dr. Paul Brown, Rais wa Chuo Kikuu hicho, Bwana Saliba Sarsar, Makamu Rais wa Chuo cha Monmouth anayeshughulikia mahusiano ya kimataifa na Mwisho ni Bwana John McLaughlin, kutoka Shirika la Footprints for Education International la nchini Marekani.
 Rais wa Chuo Kikuu cha Monmouth Dr. Paul Brown, akimtembeza Mama Salma Kikwete maeneo mbalimbali ya chuo hicho. Kushoto ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dr. Hussein Mwinyi.
  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongoza kikao cha pamoja kuhusu mashirikiano kati ya Taasisi ya WAMA na Chuo Kikuu cha Monmouth hasa katika masuala ya kuwaongezea uwezo wauguzi na wakunga. Mama Salma Kikwete aliongozana na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dr. Hussein Mwinyi.
 Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, Mama Salma Kikwete akijadiliana jambo na Dr. Paul Brown, Rais wa Chuo Kikuu cha Monmouth baada ya Mama Salma kumkabidhi Jarida litolewalo na Taasisi ya WAMA .
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongoza kikao cha pamoja kuhusu mashirikiano kati ya Taasisi ya WAMA na Chuo Kikuu cha Monmouth hasa katika masuala ya kuwaongezea uwezo wauguzi na wakunga. Mama Salma Kikwete aliongozana na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dr. Hussein Mwinyi.
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea kitabu kutoka kwa Dk. Edward Christensen, Vice President for Information Management. Chuo Kikuu hicho kilitoa zaidi ya vitabu  4000 kwa ajili ya Tanzania. Wengine wanaoshuhudia makabidhiano hayo ni pamoja na Waziri wa Afya Dr. Hussein Mwinyi na Makamu Rais wa Chuo Bwana Sarsar na Mwishi ni nBwana John McLaughlin.
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea kitabu kutoka kwa Dkt. Edward Christensen, Vice President for Information Management. Chuo Kikuu hicho kilitoa zaidi ya vitabu  4000 kwa ajili ya Tanzania. Wengine wanaoshuhudia makabidhiano hayo ni pamoja na Waziri wa Afya Dr. Hussein Mwinyi na Makamu Rais wa Chuo Bwana Sarsar na Mwishi ni nBwana John McLaughlin.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete anazungumza na Bwana Kevin Williams, Mwalimu kutoka shule ya Asbury Park. Shule hiyo ina uhusiano na shule ya sekondari ya WAMA, iliyoko huko wilayani Rufiji, mkoani Pwani. PICHA NA JOHN LUKUWI WA MAELEZO    

MAADHIMISHO A MIKA 50 YA SEKONDARI YAWERUWERU

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ,  Mkewe Tunu  (wapili kulia),Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka  (kulia), Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dr. Mary Nagu  (kulia) kwa Waziri Mkuu na Mkuuwa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama  wakitazama  vitu mbalimbali vya mazoezi katika maabara ya Baiolojia  katika maadhimisho ya Shule ya Sekondari ya Wasicha ya Weruweru yaliyofanyika shuleni hapo. Septemba  21, 1013
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua Bwalo la Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Weruweru ya Moshi  Vijijini ikiwa na sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya shule hiyo Septemba 21, 2013
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipanda  mti kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Weruweru ya Moshi Vijijini  akiwa katika maadhimisho ya miaka 50 ya shule hiyo Septemba  21, 2013.  Wapili kushoto ni mkewe Tunu na Watatu kushoto ni Waziri wa  Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka na Wapili kulia ni Naibu Waziri  wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Kassim Majaliwa
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipanda  mti kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Weruweru ya Moshi Vijijini  akiwa katika maadhimisho ya miaka 50 ya shule hiyo Septemba  21, 2013.  Wapili kushoto ni mkewe Tunu na Watatu kushoto ni Waziri wa  Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka na Wapili kulia ni Naibu Waziri  wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Kassim Majaliwa
 Baadhi ya Wanawake waliosoma katika  Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Weruweru ya  Moshi Vijijini  wakiimba wimbo wa Shule hiyo katika maadhimisho ya miaka 50  ya shule hiyo   Septemba 21, 2013
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na baadhi ya  wanawake  mashuhuri  waliosoma katika   Shule ya Sekondari ya Wasichana  ya Weruweru ya Moshi Vijijini katika maadhimisho ya  miaka 50 ya Shule hiyo. Kutoka kulia ni Binti ya Waziri Mkuu, Fortunata Pinda,, Dr. Aha Rose Migiro, Dr. Mary Nagu ambaye ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwezeshaji na Uwekezaji,  na   Balozi Mwanaidi Maajar
 Mbunge wa Moshi Vijijini , Dkt. Cyril Chami  akitamka mchango wa  shilingi milioni mbili za kuchangia ukarabati wa majengo ya Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Weruweru yaMoshi Vijijini  akiwa katika maadhimisho ya miaka 50 ya shule hiyo. Septemba 21, 2013
 Baadhi ya waliohuhudhuria matika maadhimisho ya miaka 50 ya Shule ya Sekondari ya Wasichana  ya Weruweru yaMoshi Vijijini  wakiselebuka kwenye viwanja vya Shule hiyo Septemba  21, 2013.
 Baadhi ya waliohuhudhuria matika maadhimisho ya miaka 50 ya Shule ya Sekondari ya Wasichana  ya Weruweru ya Moshi Vijijini  wakiselebuka kwenye viwanja vya Shule hiyo Septemba  21, 2013. (Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe tunu (kushoto) wakisalimiana na Mkuu wa zamani wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Weruweru ya Moshi Vijijini, Mary Kham katika Maadhimisho  ya miaka 50 ya shule hiyo Septemba 21, 2013. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)

RAIS KIKWETE ATUNUKIWA SHAHADA YA UZAMIVU CHUO KIKUU CHA GUELPH JIMBONI ONTARIO, CANADA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na  Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mheshimiwa Dkt. Shukuru Kawambwa  na  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe kuelekea ukumbini  kutunukiwa Shahada Ijumaa Septemba 20, 2013

 Nyimbo za taifa zikipigwa wakati wa sherehe za kumtunuku  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete aki  Shahada ya Uzamivu katika Chuo Kikuu Guelph jimboni Ontario, Canada, Ijumaa Septemba 20, 2013
 Watu walioshuhudia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa kutunukiwa Shahada  ya Uzamivu ya Chuo Kikuu cha Guelph jimboni Ontario Ijumaa Septemba 20, 2013

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akitunukiwa Shahada ya Uzamivu na Provost na Makamu wa Rais wa  Chuo Kikuu cha Guelph jimboni Ontario, Dkt Maureen Mancuso  , Ijumaa Septemba 20, 2013
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akitunukiwa Shahada ya Uzamivu na Provost na Makamu wa Rais wa  Chuo Kikuu cha Guelph jimboni Ontario, Dkt Maureen Mancuso  , Ijumaa Septemba 20, 2013
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akishangiliwa katika  Chuo Kikuu Guelph baada ya kutunukiwa Shahada  ya Uzamivu ya Chuo Kikuu cha Guelph jimboni Ontario Ijumaa Septemba 20, 2013 Ijumaa Septemba 20, 2013.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia  Chuo Kikuu Guelph baada ya kutunukiwa Shahada  ya Uzamivu ya Chuo Kikuu cha Guelph jimboni Ontario Ijumaa Septemba 20, 2013
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Guelph pamoja na na  Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mheshimiwa Dkt. Shukuru Kawambwa  na  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe baada ya kutunukiwa Shahada  ya Uzamivu ya Chuo Kikuu cha Guelph jimboni Ontario Ijumaa Septemba 20, 2013 Ijumaa Septemba 20, 2013
 Umati ulioshuhudia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa kutunukiwa Shahada  ya Uzamivu ya Chuo Kikuu cha Guelph jimboni Ontario Ijumaa Septemba 20, 2013
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Wakuu wa Chuo Kikuu Guelph pamoja na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mheshimiwa Dkt. Shukuru Kawambwa  na  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe baada ya kutunukiwa Shahada  ya Uzamivu ya Chuo Kikuu cha Guelph jimboni Ontario Ijumaa Septemba 20, 2013  Ijumaa Septemba 20, 2013
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa baada ya kutunukiwa Shahada  ya Uzamivu ya Chuo Kikuu cha Guelph jimboni Ontario Ijumaa Septemba 20, 2013
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na  Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mheshimiwa Dkt. Shukuru Kawambwa (kulia) na  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe baada ya kutunukiwa Shahada  ya Uzamivu ya Chuo Kikuu cha Guelph jimboni Ontario Ijumaa Septemba 20, 2013

ZIARA YA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA KARATU

 Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akizungumza katika Mkutano uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika uzinduzi  wa Maktaba ya Shule ya Sekondari ya Banjika wilayani Karatu Septemba 20, 2013.  Katikati ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Mendeleo ya makzi, Profesa Anna Tibaijuka.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo yaMkazi, Profesa Anna Tibaijuka  wakitembelea maktaba yaShule ya Sekondari ya Banjika  ya wilayani Karatu ambayo ilizinduliwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Septemba 20, 2013.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe la Msingi la Tangi la Maji  katika Kijiji cha Gykrum Arusha wilayni Karatu Septemba 20, 2013. Wapili kushoto ni mkewe Tunu na kushoto ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya  Makazi, Profesa Anna Tibaijuka.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  na Mkewe Tunu  (kushoto) wakipata maelezo  Kutoka kwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji  Safi na Maji Taka wa Arusha, Bibi Ruth kuhusu  ujunzi wa tangi la Maji katika kijiji cha Gykrum Arusha wilayani Karatu baada ya kuweka jiwe la Msingi la mradi huo Septemba20, 2013.   Kushoto kwa Waziri Mkuu, ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa, Anna Tibaijuka.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe la Msingi la Tangi la Maji  katika Kijiji cha Gykrum Arusha wilayni Karatu Septemba 20, 2013. Wapili kushoto ni mkewe Tunu na kushoto ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya  Makazi, Profesa Anna Tibaijuka.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama uchimbaji wa kisima kirefu cha maji  unaofanywa na wakala serikali wa Uchimbaji visima katika eneo la Bwawani wilayani Karatu.
 Mke wa Wairi Mkuu, Mama Tunu Pinda akiwasalimia wananchi wa  Mbulumbulu baada ya  Waizri Mkuu, Mizengo Pinda kuzindua  Kituo cha Afya cha Kambi ya Simba wilayani Karatu Septemba 20, 2013.
  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwasalimia wananchi wa  Mbulumbulu baada ya   kuzindua  Kituo cha Afya cha Kambi ya Simba wilayani Karatu Septemba 20, 2013. Kulia ni mkewe Tunu na kulia kwake ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Profesa Anna Tibaijuka
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua kituo cha Afya cha Kambi ya Simba wilayani Karatu  baada ya kukizindua Septemba 20,2013. Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka  (Mwenye kofia nyeupe) wakiimba wimbo pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Awet wilayani Karatu Septemba 20, 2013.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wanakwaya wa Shule ya Sekondari ya Awet wilayani Karatu baada ya kuwahutubia wananchi katika mkutano  uliofanyika shuleni hapo Septemba 20, 2013.

 Baadhi ya wananchi wa Karatu waliohudhuria mkutano wa hadhara  uliohutubiwa na Waziri Mkuu,Mizengo Pinda  mjini Karatu wakimsikiliza Waziri Mkuu, wakati alipowahutubia Septemba 20, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  na Mkewe Tunu wakiagana na baadhi ya viongozi wa CCM wa wilaya  ya Karatu  baada ya Waziri Mkuu, kuhutubia mkutano wa hadhara mjini Babati septemba 20, 2013. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)