INJINIA DEUSDEDIT MALULU NA DORIS KASAKA WAMEREMETA 

 Enjinia Deusdedit Malulu na mke wake kipenzi Doris Joseph Malulu, wakiwa na nyuso za furaha baada ya kufunga ndoa takatifu jana katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Mavurunza Kimara, Dar es Salaam.
 Akimvisha pete mkewe
Meza kuu ya Familia ya Engineer Deusdedit Malulu
 Wakikata keki
 Familia ya Mzee Njelu Kasaka wakipiga picha ya kumbukumbu na watoto wao wapendwa Doris Kasaka Malulu na Engineer Deusdedit Malulu waliofunga ndoa takatifu jana jioni.
Maharusi hao wakiwa katika picha ya pamoja na familia yao